Nimesoma kwenye gazeti Juma Pinto
na David Mosha wanagombea ujumbe kwenye uchaguzi unaokuja
wa TFF....
nimeona ni vizuri ku share habari hii...hapa since haya majina
yanazungumzwa mno hapa JF now...
Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita. Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la Mipasho dhidi ya Alikiba:
1...
Mechi ya ngao ya Jamii, itachezwa jumatano tarehe 23/08/2017 na hii ni kuonyesha ufunguzi mpya wa Ligi kuu ya Vodacom ambayo itaanza mwishoni mwa wiki.
Kila mtu anaipenda timu flani kati ya Simba...
Yaani wana score three goal within 4 minutes....
Tena goals ambazo ni hatari tupu.
.
Combination ya Pogba, Matic, Lukaku na wezie ndio imeiva sasa ....
Kutokana na kuwaangalia na mafanikio waliyo yapata nakuja na timu yangu bora ya muda wote
Kipa
Dida(Brazil)
Mabeki
Lahm (Germany)
Roberto calos (Brazil)
Ramos (Spain)
Silva (Brazil)
Viungo...
KIUNGO wa Yanga, Pius Buswita amefungiwa kucheza soka kwa mwaka mmoja kwa kosa la kusaini mikataba na klabu mbili, nyingine ikiwa ni Simba.
Hayo yamefikiwa katika kikao cha Kamati ya Katiba...
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao wa 2018/19 kutoka 16 za sasa hadi 20, imefahamika.
Uamuzi huo...
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao wa 2018/19 kutoka 16 za sasa hadi 20, imefahamika.
Uamuzi huo...
Naleta hoja hii kwenu wadau wa football tuijadili na baadae wafadhili wayafanyie kazi mapendekezo yetu.
Ndondo cup kwa uwezo wake Mwenyezimungu inazidi kuwa maarufu na inaibua vipaji,sasa ni kwa...
Kuna habari zinaenea kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa timu ya Yanga kesho hawatoingia uwanjani kutokana na wachezaji wa timu hiyo kutolipwa mishahara yao ya mwezi uliopita. Hivyo kuna...
YANGA WABABE MARA NYINGI, SIMBA WAZEE WA DOZI NZITO
(SOURCE: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 9:13 PM BREAKING NEWS , HABARI ZA MICHEZO)
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
WAKATI watani wa jadi...
Ni shabiki maarufu wa mabingwa wa historia VPL Yanga
Alifariki hivi karibuni ukweli Ali alikuwa kivutio kikubwa mechi kama ya leo....hata mfungwe tatu anahamasisha shangilien kama ameona goli la...
Najaribu kuulizia tu,inasemekana simba ina wanachama takribani 5000 sasa katika mkutano wa leo waliohudhuria ni 1200,je mpaka hapo akidi ilitimia?kama haijatimia maamuzi ya leo ni halali?
Sent...
The Cleveland Cavaliers and Boston Celtics have agreed to a trade that will send Kyrie Irving to Boston in exchange for Isaiah Thomas. Cleveland will also receive Jae Crowder , Ante Zizic and...
Habari wakuu,, mim ni mdau mkubwa wa Dstv nina miaka sita natumia,miaka iliopita Dstv walikuwa wanaonyesha lig mbalimbali,sasa msimu nimelipa kifurushi cha 122,500. Hivi ni kwel Dstv haionyeshi...
Kesho siku ya Jumatano tarehe 23 mwezi Agosti mwaka 2017 kutakuwa na majaribio ya Makombora mikubwa mitatu ambayo itatokea jijini Dar es Salaam ila madhara yake yatatapakaa nchi nzima kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.