Nilikuwa nawaangalia kwa dharau sana kwa jinsi mlivyokuwa mnajibaraguza kwenye media , nilijua mtashindwa vibaya sana ! Kwanza ni bahati kupata hata kura 9 .
Mmeingia kwenye uchaguzi hata bila...
WAKATI SISI TUNAMUITA KIUNGO WETU MPYA WENZETU WANAMUITA MCHEZAJI WAO WA ZAMANI
TUNAPASWA KUJIULIZA UPYA WA KIUNGO WETU NO UPI?
....SIKU ZOTE MASHABIKI WENZANGU WA SIMBA UWA HAWANIELEWI...
Mwamuzi maarufu katika mchezo wa kandanda nchini Somalia amepigwa risasi na kuuawa karibu na nyumbani kwake mjini Mogadishu.
Osman Jama Dirah, ambaye alisimamia mechi za kanda na kimataifa...
Nilianza kuguna siku ya mtibwa ila nikajipa moyo bado mitambo haijakaa fresh itachanganyia tu ila kwa nilichokiona leo kwenye mechi ya mlandege ni aibu aisee.
Acheni kucheza kama james delicious...
Sasa hivi yuko nafasi ya tatu...tumuombee..
=====
At 40km point, with just over a mile to go, Kenya's Geoffrey Kirui leads in 2:01.36. Ethiopia's Tamirat Tola is 52 secs back in 2nd...
Nipende tu kuchukua fursa hii adhimu kuweza kuwashukuru sana na mno Waandaji wote wa Mashindano ya Mpira wa Kihuni / Kisela wa Ndondo Cup kwa kuweza kunifanya niweze kupata faida Kubwa ya Kuuza...
Nigeria's Ogenyi Onazi denied work permit to join Birmingham
By Oluwashina Okeleji
BBC Sport, Lagos
Nigeria's Ogenyi Onazi played at the 2014 World Cup in Brazil however the Super Eagles have...
Naona Barcelona leo hakuna cha kumjaribia mitambo mzee zizou/Zidane kaamua kuwasha mitambo moja kwa moja,Mitambo ipo safi ina watts za kutosha kibongo tunaweza sema ni mtambo wa Kinyerezi...
Ikumbukwe wakati wanatawazwa mabingwa wapya wa vodacom premier league watani wa yanga a.k.a wahapahapa fc untill further notes walisisa kuvaa medani za mshindi wa pili..walihisi kuwa wao ndio...
Mfanyabiashara tajiri raia wa Nigeria Aliko Dangote, ambaye anaorodheshwa kuwa mtu tajiri zaidi Afrika, amesema kuwa atamfuta kazi meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, ikiwa atafaulu kuinunua klabu...
Leo kwenye kipindi cha sports bar cha clouds FM wameshindwa kuonyesha mambo aliyoyafanya mchezaji mwenzetu/Wa kwetu Tanzania, nikimaanisha Mbwana Samatta
Cha kushangazi zaidi ktk havari za...
Kiungo wa kimataifa wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima amefunguka na kudai haikuwa jambo rahisi kwa yeye kutoka Yanga kwenda kuchezea Simba ila anamshukuru Mungu kwa kuwa yeye ndiyo mpangaji wa...
Afrika Mashariki ina nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini. Kote huko mpira wa miguu unachezwa barabara. Lakini Je ni nchi ipi ina ligi bora zaidi kutokana na vigezo vyako?
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameitaka timu ya Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga, wajiandae kupokea...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 16.08.2017
Chelsea wanajiandaa kutoa pauni milioni 50 kumsajili beki wa Tottenham Danny Rose, 27, baada ya mchezaji huyo kushutumu sera za usajili za Spurs. (Sun)...
PSg leo akishinda 3 kavu na Neymar akitupia kambani bao la tatu wakiwa ugenini kule kwa akina Messi ulikua msiba mzito baada ya kuchenjuliwa na Real madrid mikwaju 3 kwa moja tena wakiwa uwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.