Dstv ndo kusema inaonyesha ligi ya EPL tu.

limbende

JF-Expert Member
May 14, 2013
1,038
621
Habari wakuu,, mim ni mdau mkubwa wa Dstv nina miaka sita natumia,miaka iliopita Dstv walikuwa wanaonyesha lig mbalimbali,sasa msimu nimelipa kifurushi cha 122,500. Hivi ni kwel Dstv haionyeshi lig zingine? Na je ntawezaje kuona lig kama Bundesliga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kweli unachozungumza au changamsha genge

Kumbuka wao wanachaji kwa dola so unaweza kuta icho ulichonunua sio cha ligi zote

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mkuu ni kweli unachozungumza au changamsha genge

Kumbuka wao wanachaji kwa dola so unaweza kuta icho ulichonunua sio cha ligi zote

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Mkuu nimelipa hivo na Chanel nazoona Dstv ni ss3,4,5,6,7,8 na 10,blitz.labda unambie zinaonyeshwa kwenye Ss maximo ndo sioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,, mim ni mdau mkubwa wa Dstv nina miaka sita natumia,miaka iliopita Dstv walikuwa wanaonyesha lig mbalimbali,sasa msimu nimelipa kifurushi cha 122,500. Hivi ni kwel Dstv haionyeshi lig zingine? Na je ntawezaje kuona lig kama Bundesliga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanaonesha uefa, europa, epl na la liga, bundesliga, serie A na French league 1 dstv hawana

Yes am cunt, next question?
 
picha ya kichina au vipi mkuu?
dcdfd24bd6cacea5a4cfc0fea6da7174.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom