Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze...
10 Reactions
129 Replies
5K Views
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani Majukumu ya timu mwenyeji 1.kuandaa uwanja na...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School Eng.Hersi anasoma...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
" In 1989, French football decided to reward the best Ballon d'Or of the previous three decades, a trophy that was only given once in history." There was only one rule to be a candidate : to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yanga ni miongoni mwa timu nzuri Tanzania bara! Lakini uongozi wa Yanga una utoto mwingi sana! Ukipitia historia ya maamuzi ya Yanga hutaacha kuona utoto ndani yake! Hawahawa Yanga WALIKIMBIA...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
AMRI KIEMBA "Ukitumia kanuni kwenye sehemu ambayo ulitumia busara ndicho ambacho kinawachanganya Bodi ya Ligi hivi sasa Mimi nadhani Yanga wapo tayari kucheza na kumalizia Ligi kwa mechi zote 30...
9 Reactions
129 Replies
3K Views
Kiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache. Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii
4 Reactions
9 Replies
573 Views
Katika hali ya kushangaza na ya kusikitisha, imekuwa kawaida sasa kwa timu mbalimbali kushiriki mashindano makubwa bila kujulishwa wazi zawadi au motisha wanazotarajiwa kupewa iwapo zitashinda...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
-------------------------------------------- --------------------------------------------
1 Reactions
5 Replies
709 Views
Afisa Habari na Mawasiliano wa Timu ya Mpira wa Miguu ya 'KENGOLD Sports Club' inayoshiriki ligi ya NBC Bw. Joseph Emily Mkoko, Juni 11, 2025 amehukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa! Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Hakika mwaka huu unaenda kuisha vibaya sana kwa TFF.....wameumbuka haswaaa!! Pamoja na yote, TFF inaenda kushinda sababu mkubwa ni mkubwa tu na lazima "alindiwe" heshima yake ya ukubwa. Hata mtu...
4 Reactions
15 Replies
871 Views
Nyota wa ngumi Tanzania karim mandonga baada ya kumtambulisha mwanae kwenye vitasa , mapromota andaeni pambano la mandonga na mwanae mtapiga hela japo ni Nilaana mzazi na mtoto kupigana 😃😂🤣
0 Reactions
3 Replies
333 Views
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mechi imesimama dakika nyingi kwa tukio dogo ambalo refa angeweza kuamua ndani ya sekunde 3 tuu
0 Reactions
7 Replies
624 Views
Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi? Yaani bingwa wa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
0 Reactions
13 Replies
613 Views
Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga. Akijibu swali hilo Jumatano Juni...
1 Reactions
3 Replies
491 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…