Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Shirikisho la soka nchini TFF kupitia Kamati ya Maadili, limewafungia Mwenyekiti wa matawi ya klabu ya Yanga, Bakili Makele na Katibu wa matawi ya klabu hiyo Boaz Ikupilika kujihusisha na soka kwa...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Waharakishe kwa sababu wabongo wabishi Man Utd news: ‘Time's up’ - United told to SACK Jose Mourinho after saying THIS about star
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Sports Pesa Tarimba Abas akizungumzia michuano ya Sports Pesa Super Cup inayotarajiwa kuanza Januari 22 mwaka 2019. Na Zainab Nyamka,Globu ya jamii KLABU ya Mbao FC...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Yanga timu yangu pendwa kabisa imekuwa ikipitia kipindi kigumu kwa takribani msimu mmoja na nusu hivi tangu uongozi uanze kuyumba na kupalaganyika,timbwili lilianza baada ya Yusuph...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Ukiacha ile ya kukimbia na mpira kama mwendawazimu sijui wenyewe mnaitanga kudribble, ni kipi yule andunje anamsogelea yule fundi wa mpira? Mbona kama karibu kila kitu kazidiwa? Najua wengi...
13 Reactions
115 Replies
10K Views
Niwe muwazi na mkweli, toka kustaafu kwa beki wa kati wa zamani wa Man Utd, Leeds United, QPR na timu ya taifa ya England bado sijaona beki wa kariba yake barani Ulaya. Rio ni miongoni mwa beki...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Pamoja na ukweli kwamba MO ni kada mtiifu wa CCM na Hans Pope ni Chadema lakini kule kandandani hawa ni wamoja. Mo amemteua Hans Pope kuingia katika bodi ya Simba katika nafasi zake sita kama...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi kinachomchelewesha kujiuzulu huyu jamaa ni kitu gani , analindwa na nani na kwanini ? lengo la kiongozi yeyote ni kuendeleza soka kwa kuhakikisha vilabu vinawezeshwa kiuchumi ili viweze...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi Serious Yanga mnakubali huu mtego wa Manji?. Sio kwamba simtaki Manji bali Yanga kwa sasa inahitaji viongozi wapya ambao watakuja kuinusuru klabu hali mbaya kwa sasa kwenye klabu wachezaji...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Wale wakali wa betting nakupeni namna ya kupunguza hasara pale unapolose ticket unapata 10% ya ulicho loose njia ni rahisi nakusajili unadeposit pesa ikitokea umeloose hupotezi pesa yote unabaki...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
KUTOKANA NA SABABUZILIZO NJE YA UWEZO KAMATI IMESOGEZA MBELE MKUTANO HUO MPÀKA TAR 24 NOV VENUE MTATANGAZIWA
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Here we go, Juventus Vs Man Utd, leo matokeo yatakuwa tofauti kuliko wengi mnavyofikiria, njooni tupeane updates kinachoendelea...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
karibuni tuungane wote kufuatilia kampeni ya kuichangia Team yetu ya Taifa stars kwenda lesotho kushiriki michezo ya Afcon kampeni inaendeshwa na mhe.waziri wa michezo kaka yetu Dr.Harisson...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Waliochukua fomu ya kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Klabu kongwe nchini Yanga itakayofanya Uchaguzi wake tarehe 13 January, 2019:- Nafasi ya Mwenyekiti:- 1. Tarimba Abbas Tarimba. 2. Iman...
5 Reactions
48 Replies
9K Views
Ni katika uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni kujaza nafasi zilizo wazi. Mdee atachuana na wakali wengine kama Aron Nyanda, Ally Mayai, Bin Kleb nk. Katika nafasi ya Mwenyekiti Manji amekubali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu,kesho tarehe 10 saa 4 kamili usiku kwa saa za afrika mashariki kuna mechi kali balaa baina ya BOCA JUNIORS AND RIVER PLATE..COPA LIBERTADORES#SUPER FINAL#SUPER CLASICO...timu zote hizo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika soka la Tanzania vimepita vizazi mbalimbali Kama kina lodgar Tenga, Sunday Manara, King kibaden, Mwamedi Mwameja, Edbily Lunyamila na hivi karibuni Juma Kaseja. Lakini kwangu Mimi japo...
3 Reactions
70 Replies
13K Views
Kuna baadhi wanadai kuwa mpira hakuna uchawi wakasema na kwa namna Mji wa Sumbawanga ulivyotamalaki katika uchawi basi wangekuwa na Klabu ya Ligi Kuu. Na Nigeria wangechukua Kombe Kombe la dunia...
3 Reactions
50 Replies
12K Views
Nimefanikiwa kutizama mechi kadhaa za Yanga Africa hasa hizi zilizochezwa uwanja ww taifa saa moja jioni nachelea kusema kwamba huyu jamaa hamna kitu pale, hamna striker mwenye hadhi ya kuwa...
7 Reactions
45 Replies
12K Views
Wakuu, nimekuwa najiuliza kuwa hapa kwetu pana msemaji wa klabu ya mpira mwanamke? Pana mtu mmoja huwa namsikia kwenye vipindi vya michezo sio mara kwa mara sauti ni kama ya mwanamama hivi ila...
1 Reactions
3 Replies
981 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…