Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari njema ni kuwa uganda imempiga tena cape verde kwa goli1 kwa 0 hii inamaanisha imefikisha pointi 13 zisizoweza kufikiwa na timu yeyote huku ikibaki na mchezo mmoja wakati Tanzania ina point...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
balaaaaa,Mungu wangu namba mbili ni bora acheze Nyoni,akiwekwa kessy utakuwa uchochorooooo
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tangu timu ya taifa imeshiliki mashindano ya afcon kwa mala ya kwanza na ya mwisho kuna watu walikuwa hawajazaliwa sasa hivi niwababa watu wazima na familia zao, wengine walizaliwa mpaka wamekufa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nadhani bw.Yusuf Manji anafuata taratibu za mwenyekiti wa CUF mh.Prof.Lipumba za kuandika barua ya kujiuzulu halafu unarudi tena kuwa hukujiuzulu.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mzuqa, Natanguliza ombi la msamaha kwa ndugu zangu humu jamvini kwa njia flan au nyingine nimewaudhi. Sisi wote ni ndugu. Tarehe 18 keshokutwa stars watakutana na Lesotho kuwania kufuzu Afcon...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Mabingwa wa nchi ya Tanzania Simba Sports Club inatarajia kukwaruzana na Klabu ya Nyasa Big Bullets FC ambao ni vinara wa ligi kuu nchini Malawi Ijumaa ya Novemba 16, 2018 katika uwanja wa Taifa...
3 Reactions
59 Replies
10K Views
𝐌𝐚𝐧𝐣𝐢 𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐬𝐞𝐤𝐮𝐧𝐝𝐞 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐭𝐮. 𝐊𝐮𝐢𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐚𝐮 𝐤𝐮𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐀𝐟𝐲𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐀𝐟𝐲𝐚 𝐲𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚. 𝐏𝐥𝐞𝐚𝐬𝐞 𝐩𝐥𝐞𝐚𝐬𝐞!!
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Wakuu pole na stress za Korosho, kesho timu yetu ya taifa(Taifa stars) inashuka dimbani kukipiga na Lesotho. Lakini habari mbaya tutamkosa naodha mbwana Samatta. Je pengo lake linazibika ...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno? Nb. Kaduguda...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
I am confused just like when young African fan or Simba fc fan disgusted by performance of the club. Man utd fans are almost tired with the drama of the management. The says who knows who, and who...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Club ya Chelsea imekumbana na adhabu ya kutokufanya uamisho wa wachezaji kwa miaka miwili na shirikisho la soka duniani FIFA,Adhabu iyo inakuja baada ya chelsea kufanya usajili wa mchezaji...
4 Reactions
15 Replies
6K Views
Mbunge wa Mtera Mh. Lusinde hivi karibuni akihojiwa na Clouds FM aliponda kitendo cha Manji kutangaza kurudi ktk nafasi ya uenyekiti wa Yanga wakati alijiuzulu mwenyewe. Alifananisha kitendo hicho...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Mara nyingi timu yetu inapohitaji matokeo hata ya sare huwa tunafungwa hata kama tunacheza na Timu mbovu lakini kunapokuwa hakuna haja ya matokeo hata kama tukicheza na Brazil tunaweza kuwafunga...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba nieleweke sio kwamba naiombea mabaya taifa stars ila najaribu kueleza dalili za taifa stars zitakazosababisha kutopata matokeo ya kueleweka dhidi ya lesotho. Kwa uzoefu wangu wa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau kutokana na changamoto ya bando inayoweza kumkuta memba yeyote humu ndani. Naomba kwa niaba yao tuwe tunatupia ratiba na matokeo ya mechi Kali za ulaya kila siku kwenye Uzi huu. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amemweleza wazi Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji, kuwa aache kuichezea Serikali, kama bado ana mapenzi na klabu...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na katizamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Huwa najiuliza sana na kukwazika pale ninapoona wachezaji vijana wa Tanzania vijana kabisa damu inachemka wanastaafu wakifikisha miaka 30! Sijui tatizo ni nini ila ningetegemea wakipige mpaka...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta . Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti...
4 Reactions
68 Replies
7K Views
KAMA KUNA WAKATI UMEFIKA N SASA YANGA KUONYESHA UMOJA WAOO YANGA ITAONGOZWA NA VIONGOZI WANAOTAKA WAO KAMA.WANA YANGA NA SI VINGINEVYO TUSIRUHUSU DAMU ZA SIMBA KUINGIZWA JANGWANI KAMWE YANGA...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom