Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,512
2,730
Nimefanikiwa kutizama mechi kadhaa za Yanga Africa hasa hizi zilizochezwa uwanja ww taifa saa moja jioni nachelea kusema kwamba huyu jamaa hamna kitu pale, hamna striker mwenye hadhi ya kuwa katika klabu kubwa kama yanga, Marcel Kaheza ni bora kuliko huyu mkongomani, usajili huu ni upotevu wa rasilimali fedha kwa timu inayohaha kuchangisha fedha za kujiendesha, ushauri wangu ni wafanye juu chini wapate mshambuliaji wa uhakika kwenye dirisha dogo la usajili au waanze kumchezesha zaidi Amiss Tambwe ili kumjengea kujiamini zaidi huenda akawapa matokeo kuliko hili garasa.
Yangu ni hayo na povu kutoka kwa watani ni ruksa kabisa.
 
Nadhani Yanga kwa ujumla wake hawana timu bora, Na hata mfumo wa kubutua mipira mirefu ya juu kwenda mbele sio rafiki kwake
Kiukweli yanga inavyocheza ata siielewi, inatia huruma mno hivyo kama watani wao wa jadi tu naomba wafanye marekebisho ya haraka kwenye kikosi chao ili kuongeza ushindani zaidi kwenye ligi yetu.
 
Kocha wao kasema goli alilokosa Makambo hata mama yake angefunga.
Hivyo anafikiria kumsajili mama yake kwenye dirisha dogo.
I rest my case.
Huyu jamaa ni sawa na wakati mna cheza last card game halafu jirani yako kalia kadi wewe unalamba joker, ni lazima uumie, yanga kalamba joker anaumia kwa sasa.
 
Nimefanikiwa kutizama mechi kadhaa za Yanga Africa hasa hizi zilizochezwa uwanja ww taifa saa moja jioni nachelea kusema kwamba huyu jamaa hamna kitu pale, hamna striker mwenye hadhi ya kuwa katika klabu kubwa kama yanga, Marcel Kaheza ni bora kuliko huyu mkongomani, usajili huu ni upotevu wa rasilimali fedha kwa timu inayohaha kuchangisha fedha za kujiendesha, ushauri wangu ni wafanye juu chini wapate mshambuliaji wa uhakika kwenye dirisha dogo la usajili au waanze kumchezesha zaidi Amiss Tambwe ili kumjengea kujiamini zaidi huenda akawapa matokeo kuliko hili garasa.
Yangu ni hayo na povu kutoka kwa watani ni ruksa kabisa.
Ata Chirwa mlisema hivyohivyo.
 
Nadhani Yanga kwa ujumla wake hawana timu bora, Na hata mfumo wa kubutua mipira mirefu ya juu kwenda mbele sio rafiki kwake
10 games unbeaten ...timu bora mikia ??! draw 2 na moja kafungwa??? Yanga inamapungufu kama timu zingine...dirisha dogo linakuja timu itaboreshwa..kama mlishindwa kukifunga kikosi hiki msahau...
 
Nani kakuambia wamemchukua kwa fedha? Aliyetaka fedha ni Mbenini yule National Team lakini walichemka wakasema eti kiwango hakijamridhisha kocha

Kwahivyo huyo Makambo ni wa posho posho kulingana na hali ya bakuli, acha waendelee hivyo hivyo, maana kelele zilizidi mno.
 
Ata Chirwa mlisema hivyohivyo.
Chirwa was far better worth compared to Makambo, huyu ni garasa kabisa, umenikumbusha na sie simba tuliwahi sajili mtu mmoja kutoka Cameroon anaitwa Ja Mba kama sijakosea, nae alikuwa garasa, ball control kwake ilikuwa mtihani mkubwa.
 
Ndugu zake Zahera, alikuja nao..
Umenikumbusha kipindi kile anakuja Maximo kwa watani alikuja na Jaja, mechi ya ngao ya hisani alitupia goli mbili kama sijakosea, baada ya hapo ikawa ndio ntolee, alipoishia ata mimi sipajui.
 
Yanga hawakuwa na hela ya kusajiri. Unamtaka mtu kama Kagere utampa nini, michango ya wanachama?
Kwangu mimi hii ndio hoja ya msingi sana, kwa hali waliyonayo kwa sasa ni afadhali hawashiriki michuano ya kimataifa manake tungeenda kuvuna aibu kama taifa.
 
Nani kakuambia wamemchukua kwa fedha? Aliyetaka fedha ni Mbenini yule National Team lakini walichemka wakasema eti kiwango hakijamridhisha kocha

Kwahivyo huyo Makambo ni wa posho posho kulingana na hali ya bakuli, acha waendelee hivyo hivyo, maana kelele zilizidi mno.
Nimekusoma mkuu, walitusumbua sana na """"wakimataifa oyoooooo"""" sasa hivi kimya kabisa.
 
Sisi au kocha wenu. Kamlinganisha na mama yake. Hayo maneno ya Zahere sio ya mtu mwingine.
Zahera kasema mwenyewe goli la kichwa alilokosa Makambo, angekuwa mama yake mzazi angefunga, hiyo ni kejeli ya kiwango cha juu kabisa kwa Makambo.
 
Back
Top Bottom