Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,237
Hivi kinachomchelewesha kujiuzulu huyu jamaa ni kitu gani , analindwa na nani na kwanini ? lengo la kiongozi yeyote ni kuendeleza soka kwa kuhakikisha vilabu vinawezeshwa kiuchumi ili viweze kumudu gharama za uendeshaji , jambo ambalo viongozi wa sasa wameshindwa vibaya mno .
Hatuwezi kuendesha ligi ya nchi kwa kudra za Mwenyezi Mungu , iko siku timu zitashindwa kufika uwanjani kutokana na kukosa nauli , ama zikaingia uwanjani huku wachezaji wana njaa ya wiki .
Haiwezekani kuwa na viongozi walioshindwa .