Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jamani muwe watulivu serikali yenu sikivu kwanza inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli imefungwa? Pili itakaa kikao na kujua kama mbunge anaweza kuhama chama chake na kuunga mkono juhudi...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
LEOOOO NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA KUMBE TIMU KUSHINDA SIO LAZIMA IJAE MASHABIKI UWANJANI WAPENDWA MLIOANGALIA MTAELEWA KWAMBA ATUTAKIWI KUJAA UWANJA WA TAIFA ILI MGANDA AFUNGWE NA STARS VIJANA...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Inawezekana kabisa ila inabidi tuache ujanja. Inabidi tuanzishe shule ya kitaifa ya mpira,tuwe na watoto kuanzia miaka 7 waanze kufundishwa mpiara,klabu ziwekeze kwenye academy. Tuwe na scouting...
1 Reactions
5 Replies
764 Views
Taifa stars lesotho 18 Mechi itachezwa tarehe 18 na namba 18 ni shufa inagawanyika kwa mbili..Tanzania namba yake ya kitabibu ni 20,Lesotho namba yake kitabibu ni 12 hivyo Tanzania na Lesotho...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Yeye si ameshafuzu! Bila ya hivyo AFCON tutabaki kuangalia kwenye Luninga
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Boxing(masumbwi) na riadha huko tumekua tukifanya vyema historia ni shahidi. Nadhani mmeona hata hivi majuzi kwa mwakinyo. Katutoa kimasomaso. Ila kwa Mpira; tutaunguza muda na fedha. Simba na...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wadau wa soka nchini Tanzania na wapenzi wa timu yetu ya Taifa kwa namna mlivyouona mchezo ule kati yetu na Walethoto kuna uwezekano wa kusonga mbele? Mimi Nina hofu ukizingatia mpaka...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Hiii TAIFA STARS cjui ni namna gani..timu Leo haikuwa hata haieleweki inacheza kwa namna gani..hakuna flow of play kabisa..Lesotho ni team nzuri ila nadhani imefanya juhudi kusoma michezo ya TZ...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Swala la Uzalendo Tanzania ni zaidi kujitoa muhanga yaani Kila sekta inakatisha tamaa. Mara huku Rushwa, Miundombinu mibovu kibaya zaidi siku hizi Kumeibuka maradhi Mapya TAIFA STARS. TAIFA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je, tumeunganishwa na siasa za nchi yetu zilizosheheni upendo na mshikamano au hii michezo ya kubahatisha?.........mwenye majawabu tafadhali!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni hayo tu ! Watanzania wakiwa na hamasa kubwa na mechi,huwa tunapigwa, Mech ya Cape verde ya kwanza na ya Lesotho hii na nyingine nyingi zinathibitisha Tunaenda Afcon sababu,Mechi dhidi...
0 Reactions
4 Replies
890 Views
Uganda the cranes wamefuza fainali zijazo za AFCON kwa kuifunga Cape Verde 1:0. Hivyo Cape Verde wanabakia na point 4 na endapo wataifunga Lesotho mechi yao ya mwisho watafikisha point 7. Taifa...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Viongozi wa TFF tuondoleeni hiyo takataka... hana nia njema na Timu yetu Ni dhahiri kabisa huyu kocha hatutakii mema sisi watanzania, ambao ni mashabiki wa timu yetu ya Taifa.. Mechi na cape...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Ukiangalia kikosi kinachoa anza, ni rahisi hata kubet na kuiua stars. Kocha huyu hajifunzi hata mechi ya kule verde, wachezaji waliobadilisha mchezo bado amewaweka benchi. Hivi ametumia akili...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Hiii TAIFA STARS cjui ni namna gani..timu Leo haikuwa hata haieleweki inacheza kwa namna gani..hakuna flow of play kabisa..Lesotho ni team nzuri ila nadhani imefanya juhudi kusoma michezo ya TZ...
0 Reactions
2 Replies
742 Views
Boramaximo kulikohuyi
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Boramaximo kulikohuyi
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Boramaximo kulikohuyi
0 Reactions
1 Replies
412 Views
Ukiangalia kikosi kinachoa anza, ni rahisi hata kubet na kuiua stars. Kocha huyu hajifunzi hata mechi ya kule verde, wachezaji waliobadilisha mchezo bado amewaweka benchi. Hivi ametumia akili...
0 Reactions
2 Replies
701 Views
Back
Top Bottom