Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hatimaye waingereza wamelipa kisasi cha Kombe la Dunia kwa wa Croatia. Wakitawala possession kuliko wa croatia kwa kiwango kikubwa wamewabwaga makamu bingwa wa Dunia kwa bao 2 kwa 1 Katika mchezo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwango
8 Reactions
55 Replies
6K Views
Mpaka jana usiku nilikuwa siamini kama Rais amewapa Taifa stars millioni 50 tshillings kama motisha ili waifunge Lesotho, mawazo yangu yote Rais alikuwa ametowa dollar million 50 ili stars ikate...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina matumaini makubwa sana wa Timu ya Taifa kushinda mchezo wa Uganda na kwenda Cameroon 2019 Timu Yetu ya Taifa imekua na tabia moja ikishinda mchezo mmoja, mara nyingi mechi inayofuata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilipost before, Kuinoa timu ya Tanzania kuna hitaji mwalimu anaewajua vizuri wachezaji wa Tanzania Kiuelewa Julio ni zaidi ya Amunike kwa Timu yetu kuanzia lugha na kila kitu
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, hivi tufanyaje ili twende Cameroon? Je tukiifunga Uganda na Lesotho wakaifunga Cape Verde idadi sawa ya magoli nani ana advantage? Tuanze kujadili namna ya ku move forward badala ya...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Tumepoteza "Golden Match", "Golden Chance" whatever you call it, but mechi ya jana imewaumiza Watanzania........Kocha amekuwa jeuri kama si Mkaidi mwenye husda na maendeleo ya Timu yetu ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza ukimfuatilia utadhani kuna kitu anakijaribisha. Yupo yupo tu , yaani yeye anadhani tumempa timu ili kumuenzi alivyokua anachezea lile li timu lao la taifa lao. Watu wakienda kufuatilia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wachezaji wa Simba SC ambao Waliitwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, wameondolewa kwenye kikosi hicho kwa kushindwa kuripoti kambini kwa muda uliotakiwa Wachezaji hao ni Shomari...
5 Reactions
144 Replies
19K Views
Kocha Ndyo kikwazo!! Amepanga Kikosi Mavi Tena Mavi!! Sitaki Hata Kumsikia Yule Kocha Na Kuanzia Leo Sifuatilii Mechi Za Stars Mpaka Akibadilishwa!! Haiingi Akilini Bado Dk 10 mpira Uishe Ndyo...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Huu ndio ukweli uwezo wa kocha Amunike ni mdogo na hawezi kuleta mabadiliko yoyote, ni aheri tungebaki na kocha wetu mzawa Salum Mayanga japo naye alikuwa na madhaifu yake fulani ambayo naamini...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyemba amesema akifika Tanzania atamueleza Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuwa kilichotokea kwenye mchezo dhidi ya Lesotho...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Gadiel Michael 4. Erasto Nyoni 5. Kelvin Yondan 6. Jonas Mkude 7. Simon Msuva 8. Salum Abubakar 9. Thomas Ulimwengu 10. John Boko 11. Shiza Kichuya Kwa...
12 Reactions
78 Replies
12K Views
Habari zenu wadau, Hivi hii timu ya taifa huwa inakosea wapi, katika hali ya kawaida si mshabiki sana kiasi ya kuwa napoteza muda kuangalia game za mpira, hata pale inapocheza timu ya taifa ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mshambulizi Hatari wa Mafarao wa Misri na Wekundu wa England Mohamed Salah amelazimika kumuomba radhi kupitia Ukurasa wake wa Twitter Binti mdogo aliyejiri Uwanjani na Bango lililomtaka awahi...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
moja ni wakati wa Rais Ali Mwiny timu ya simba ikapoteza na mzee akakata mguu akatoa na ule msome wa kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi hujifunzia kunyoa ,mbili rais Kikwete mpaka kamlipia kocha...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Naomba niweke wazi yaliyojaza moyo wangu! SIKUFURAHISHWA na Kauli za Mkulu ,sipo alipoongea na wachezaji wa Timu ya Taifa!Kwangu zile zilikuwa ni kauli za kukatisha tamaa! Kwa hatua hiyo mimi na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Tunaomba TFF imuondoe kocha mkuu wa taifa stars Amunike Ni wazi watanzania tumepoteza mechi ya leo kwa uwezo mdogo wa kocha Amunike Mechi ijayo dhidi ya uganda haitakiwi kumkuta Amunike na benchi...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Napata mfadhaiko mkubwa pale timu yetu ya taifa inapofungwa tena kiboya kabisa....kwa ugunduzi wangu mwembamba, nimegundua kuwa Tatizo la Timu yetu ya taifa kufanya vibaya ni huyu Kocha (Amunike)...
7 Reactions
83 Replies
8K Views
Walahi kwa mpira huu,na kocha huyu bora tuendelee kucheza mchangani na ni bora tufungwe ili tusiende AFCON Cameroun maana huko tutakuwa daraja au timu ya kuchukulia pointi Fikiria tupo kundi moja...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom