Kocha wa Taifa stars ndiyo janga

MUUZA NGADA

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
340
488
Kocha Ndyo kikwazo!! Amepanga Kikosi Mavi Tena Mavi!!

Sitaki Hata Kumsikia Yule Kocha Na Kuanzia Leo Sifuatilii Mechi Za Stars Mpaka Akibadilishwa!!

Haiingi Akilini Bado Dk 10 mpira Uishe Ndyo Unamuingiza Boko!! Una akili timamu kweli kocha?

Kama Hyo Haitoshi, Tangu Lini Erasto Nyoni Akacheza Namba 6 vizuri kuliko Mkude?

Huwezi Kwenye Kikosi ukamuacha Mtu Kama Ajibu!! Huwezi Hata Kidogo

Unamuweka Sub Kichuya Kisha Baadae Ndyo Unakumbuka Shuka!! Kocha Umepanga Kikosi Mavi!!

Huyu Kocha Miyeyusho mm nawaambia na Mliona hata Mechi Na Cape Verde kule Kwao alichofanya,Unatuwekea Watu Cjui Wa Aina Gani mpka Alipoingia Kapombe Ndyo Kidoooga Afadhari!!


Aondoke Kisha Tumuweke kocha Mzawa Pale iwe Mwambusi au Yeyote yule

NARUDIA TENA KOCHA HATUFAI
 
Umeongea ukweli mchungu sana kiongozi, in short coach hajui afabyalo pale stars. Game ya jana imeniuma saana yaani
 
Back
Top Bottom