Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 iliyopangwa kufanyikia nchini Cameroon, haitofanyika tena nchini humo kutokana na sababu za kiusalama.
Kikao cha Shirikisho la Soka Afrika...
Hbr wanajamvi
Naomba kujuzwa professional players wenye degree, masters Phd na wale wenye taaluma mbalimbali ikiwemo waliotumiakia taaluma zao huku wakicheza soka lakini pia hata ambao waliacha...
Leo mida ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mtanange wa kukata nashoka kati ya maafande wa magereza Tanzania dhidi ya Yanga afrika, yanga ambayo haijapoteza mchezo ata mmoja...
Habari wadau? Kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua ni app gani naweza kutumia kucheki soka hasa mechi ya leo ya epl inayochezwa usiku mnene! Asanteni wanasoka
Timu ya African Sports (wana kimanu manu) ilikuwa moto wa kuotea mbali miaka Ya 80 na Matokeo yake walimfunga Simba mpaka ikamkamlazimu waziri wa michezo marehemu Proffesor Machunda mnazi WA...
DAR ES SALAAM – Sick-as-a-parrot Mbabane Swallows have experienced some dark days in their African football safari but here at this East African country, the storm clouds returned – literally and...
Mwanasoka Staa wa Klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Croatia, Luka Modric ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2018 usiku huu na kuwabwaga Christiano Ronaldo na Lionel Messi...
December 4 , 2018
Victoria Seychelles
CAF Confederation Cup 2018 :
Northern Dynamo vs Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar walivyowasili mjini Victoria ktk visiwa vya Seychelles bahari ya hindi.
Baada...
Michezo ni upendo na uleta undugu na hivyo kuweka hali ya amani popote pale duniani.Mwakyembe kwa kushirikiana na TFF wacheni kabisa kupandikiza migogoro ndani ya Yanga waacheni wafanye uchaguzi...
Kitendo Cha Manchester United kuendelea kufanya vibaya kumemfanya kocha Jose Mourinho kumuangushia jumba bovu mchezaji wake Paul Pogba. Mara baada ya kutoka sare weekend iliopita. Kocha Mourinho...
Nimesikitishwa kusoma katika magazeti ya leo eti TFF imepata hasara ya Tsh 500 milioni mwaka 2014, lakini kilichosababisha hasara hiyo ndo kimenifanya niruke mita 1000 kimanga kwa mshangao
Sababu...
Dah inauma sana ukiona mpaka Mtu mzima analia hivi ujue inatia hasara.Tff na waamuzi badilikeni ase
1.uwanja una madimbwi na matope
2.kisha Refa anakuja kuchezesha hovyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.