Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

i don't get the answer why ronaldo din't attend the balon d'or festival
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbwa koko alivyookoa bao mechi ya ligi 👆👆👆🤣🤣🤣 Mbwa koko alivyookoa bao mechi ya ligi Argentina 7 Disemba 2018 Tazama wakati mbwa koko alipookoa bao katika mechi ya ligi ya daraja la tatu nchini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtazamo Wang naona Azam anachkua TPL 1.Aina ya Coach waliyenaye 2.Wana vipaji vingikwa sasa hasa vijana ambao kasi yao Du hatari. SIMBA na YANGA wajiandae kisaikolojia
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Yatandikwa bao 12 soka la ufukweni .
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Kilichobakia kuifunga yanga tu ni mahakama na sivinginevyo.
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Beach soccer Afcon
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Yanga walibahatika sana kupata saini ya huyu mchezaji, mimi Simba lakini Makambo ni habari nyingine, huyu jamaa akicheza timu kama Totenham au Man U basi naona kabisa watu watakavyosugua benchi...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwanza na'declare interest mimi ni shabiki wa Simba kindakindaki! Nirudi kaika mada juu..Nimemtazama jama (Mwaikimba) katika mechi kama sita hivi za karibuni. Amebadilika sana! Hakosi magoli ya...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
...Wakuu salaam! Kuna mdau kaanzisha mada na kuonesha Yanga ni namba 1 kwa kuwa na washabiki wengi, binafsi nakataa. Simba ndiyo inaongoza kwa kuwa na washabiki wengi. Sasa ili kuweka rekodi...
0 Reactions
86 Replies
14K Views
Huu ni uwanja wa La Bombonera, unaambiwa mashabiki zaidi ya 49,000 walijazana hivi kuangalia mazoezi 😱💙💛 ya timu yao Boca Juniors.Thats football in its best manifestation Tomorrow is a second...
2 Reactions
95 Replies
11K Views
Habari members!!! Nasikia YANGA wamepigwa Goli 2 Dhidi ya Sumbawanga. Golikipa alikuwa Kindoki. Kwa wale waliofuatilia hii Mechi mtujuze,Upande WANGU sikuifuatilia hii kuhusu kubikiriwa wanayanga.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwinyi Zahera ambaye ni Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga kwa kweli anaijua sana Saikolojia ya Wachezaji. Ikumbukwe kuwa, mara alipopata nafasi ya kazi ya Ukocha Mkuu kwenye Klabu ya Yanga, Klabu...
8 Reactions
29 Replies
9K Views
Game bado inaendelea tusije kupigwa 20 tu. Jana walipigwa 6 na Libya.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1.imekoswa mdhamini ligi Kuu Timu zina suffer 2.Kufungia watu Maisha wasishiriki soka (fitina na visas) 3. Kuendekeza migogoro (wambura) 4. Kukosa mipango thabiti ya kukuendeleza soka. 5...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Lucas Torreira goli dakika ya 83 na kumaliza kabisa Hudderfield
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Muda si mrefu wale wababe wa kutupiana masumbwi wataingia kuonyeshana ubabe. Jamaa wametambiana muda mrefu sana na sasa umefika wakati kutimiza tambo zao. Kila mmoja ana historia yake na anao...
0 Reactions
70 Replies
10K Views
Ingekuwa mechi ya Simba na Yanga sijui ingekuwaje??
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Kama tukiamua kuweka nguvu zetu kwenye mchezo mmoja ambao watanzania wenzangu mnaona tunaweza kuumudu na kutufikisha mbali kimataifa mnadhani ni mchezo gani tungeuwekea nguvu kubwa na kuupa...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Simba wanashiriki kilabu bingwa nawataadharisha msije na visingizio hapo mbeleni najua mtasema tulikuwa tanshiriki klabu bingwa nawaambia ukweli msipoangalia mtamaliza ligi nyuma ya azam na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom