Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa wenzangu wa camp nou, jamani tupo sawa kweli? Tukumbuke tuko No 2 msimamo la liga Psv ni timu yakuishinda 2-1 kweli? Tena wametukosa nyingi za wazi! Vipi tukikumbana na psg Kwa hali hii...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nadhani hapa kila mtu anayo kumbukumbu ya timu zilizokuwako mtaani kwake enzi hizo akiwa bado kinda,wengine kwa kuzisikia wengine kwa kuziona live.Mimi kwetu kijiji zilikuwako za vijiji tu...
0 Reactions
66 Replies
10K Views
Mtibwa sukari wana wa madizini kutoka pale turiani morogoro leo watakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Northern dynamo kutoka pale Ushelisheli, ikumbukwe kuwa Mtibwa wana zaidi ya miaka 14...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika(CAF), Issa Hayatou na aliyekuwa Katibu Mkuu, Hicham El Amrani wapigwa faini ya USD Milioni 27.9(Zaidi ya Tsh. Bilioni 64) kila mmoja Mahakama ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yanga ya kwea kileleni Yanga yampiga mtu miguu ya bajaji Wale wa Amber Ruthy wamenunaje!!??
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa heshima kubwa kabisa Leo simba inaanza safari ya kimataifa na inaanza na timu kutoka uswetu Nipo Taifa tayari kwa kuwaletea mpambano huu live Tayari watu wameshajaa nje ya uwanja hamasa Ni...
9 Reactions
248 Replies
29K Views
Kelele za kumtaka wenger aondoke zilitapakaa kila kona kutoka kwa mashabiki wa Arsenal, natamani kujua baada ya Wenger kuondoka mnaionaje Arsenal? Imeanza kuonesha dalili ya kuwa mnavyotaka?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetangaza ratiba ya michuano ya mabingwa wa Afrika na Kombe la Shirikisho barani Afrika katika ngazi za vilabu. Katika ligi ya mabingwa barani Afrika...
4 Reactions
94 Replies
17K Views
Jamani kitaa kuna fursa nyingi zinazoitaji uthubutu tu, unaanza kufuta jasho kwa noti. Wazazi wengi wa kileo wanapenda kuwarisisha watoto Wao ujuzi wa kitu Fulani. Sasa mid nimeona kuna fursa ya...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Tuwatakie mechi nzuri yenye fanana na kila lililo shari Mungu awaepushie.Binafsi nawatakia ushindi mnono wa goli mbili tu. Wewe je
1 Reactions
30 Replies
3K Views
ALL THR BEST MTANI HUWA KWENYE UTAIFA SINAGA ROHO MBAYA MH AMEMSHUKURU LOWASSA KUWEPO KTK MAENDELEO YA NCHI NA KUSHAURI WAONDOE UÇHAMA KWENYE MAENDELEO YA NCHI ELSE WATAISHIA SEGE........ sasa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mzuqa Sasa vile vinywaji vimekosea nini hadi havibamize chini? Kanichekesha sana. Kwanza kapiga buti kreti ya kwanza ya vinywaji halafu akainua kreti ya pili nakuibamiza chini in a wild...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu mama anachezesha vibaya, Angalia hata sasa hivi mechi inayoendelea ya wanawake CUF south Africa vs Mali ZBC 2
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo kwenye mechi kati ya simba sc na Lipuli fc kumetokea vitendo vya kishirikina.Ilipofika muda wa mapumziko mchezaji wa simba Dilunga alikataa kutoka kwenye pitch ya uwanja mpaka pale wachezaji...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Mourinho azua vituko tena Old Trafford Arsene Wenger alifukuzwa uwanjani kwa kupiga teke chupa za maji alipokuwa meneja wa Arsenal walipokuwa wanacheza Old Trafford mwaka 2009.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wa ndugu, Naizungumzia Taifa Stars kuelekea Afcon 2019. Kwanza Taifa Stars ikienda sare dhidi ya Uganda mwakani tayari imeshajitoa wenyewe kuelekea Afcon. Mungu ajaalie Taifa Stars 5-0...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom