Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tumejitahid sana kuhamasishana na kujitokeza kuishangilia timu yetu ya taifa, huku tukijipa moyo kuwa Uganda hana cha kupoteza kw kuwa ameshafuzu. Nasikitika sana kuona siasa na ahadi nyingi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu watanzania, Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii, Ninasema hivi kwa sababu kuu...
16 Reactions
115 Replies
12K Views
Sasa wakuu na wajuvi wa mambo, njooni mtujuze bia moja hapo Serena Hotel ni sh. ngapi? Halafu tugawe kwa nusu bei. Huu ni uhuni mwingine toka kwa Makonda! Ilipaswa sehemu kama Tabata kuwe na...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Nilikuwa naskiliza kipindi chao cha michezo muda si mrefu(clouds FM) mchambuzi amesema kuwa Libya wanacheza na South Sudan leo na kutoa uchambuzi mrefu tu kuhusu huo mchezo! Mbona ratiba ya CAF...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 2000 wakati Wajerumani wakipitia kipindi kigumu kwenye mashindano ya EURO-2000 ndicho kipindi walimuita Lother Mathius aje kuokoa jahazi. Kipindi England walipokuwa na wakati mgumu 2011...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama tunavyojua leo timu yetu ya Taifa itakuwa ikitafuta tiketi ya Afcon.Kwa wale tutakaokosa nafasi ya kwenda Uwanjani tujuzane sehemu ya kwenda shuhudia mtanange huo,binafsi nafikiria kuwa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Ili kodi za watanzania kila mtu, wakiwemo watoto wapenzi wa soka, Basi leo Dakika 90 tu nawaomba mechi hii muoneshe maana ni wazalendo na hata asiye na salio la kifurushi afurahie kodi yake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Asee nimeamini mkono mtupu haulambwi , tumeona wachezaji wa Simba wakitangaziwa donge nono baada ya kufanya vizuri dhidi ya As Vita , pamoja na kweli As Vita ni timu kubwa vijana wakajituma...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhal tujuzane wadau
1 Reactions
41 Replies
10K Views
Waandaji au promoter wa hassan Mwakinyo wanamdanganya kwa kupewa bondia Nyanya kama huyu Sergio Hata wale mlioangalia pambano inaonyesha saana kuwa bondia Sergio ni bondia muuza vitumbua yaani...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Sisi wazee wa nusu bei tupo kwenye sala kali sana kuhakikisha stars wanachomoka Gonga like kama upo na mm Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Walikuwa wakiojiwa na mtangazaji wa azam aliyepo uwanja wa taifa Timuzo Karugira. Wanasema mambo ya kusubiri mechi ya mwisho uku ukiomba timu fulani ifungwe wewe ushinde inakuwa sio,kama ni hesabu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi..... Leo ni mechi kubwa ya kufuzu Afcon 2019,kati ya Tanzania Vs Uganda,na Cape Verde Vs Lesotho... Hizi timu zote isipokuwa Uganda ambao tayari wameshafuzu,zinapambana ili...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Pambano linafanyika Kenya katika ukumbi wa KCC liko live KBC baina ya Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya Rodriguez Wa Argentina ------- Bondia Mtanzania amefanikiwa kumpiga kwa TKO mpinzani wake...
7 Reactions
78 Replies
11K Views
Wakuu jana Messi kaendelea kuonyesha kuwa bila Barcelona hawezi kushine baada ya timu yake ya Argentina kulambwa 3 kwa moja toka kwa wahuni wa Venezuela hii inaashiria kuwa messi ni kama wifi...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
SABABU ZA UZALENDO KUNITOKA NI HIZI HAPA. 1- Walioteuliwa kuunda kamati ya uhamasishaji siyo wanasoka. Hakuna hata mmoja aliwahi kuichezea timu ya taifa, wengine ni watu wenye scandal mbaya kama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi. Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nikilitizama tu kundi alilopo taifa stars naishiwa na iman ya kuipa nafasi team yangu ya taifa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Serikali haina dini ila watu wake wana dini! Tanzania haina dini ila watu wake wana dini! Watu walishatahadharisha mapema tu hapa! Haya mambo ya misalaba kwenye jezi ya taifa sinunui hata Kama...
9 Reactions
719 Replies
83K Views
Back
Top Bottom