Messi ni kama wifi nje ya Barca hamna kitu

ukweli utabaki pale pale Messi nje ya barcelona ni bure. hana maajabu yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app


Kwahiyo unataka acheze peke yake na Adifensi peke yake? Kwanza mechi yenyewe ya kirafiki na ndiomaana wamechezesha makinda.


Screenshot_20190323-135323_FotMob.jpg

tena nyumbani hapo 🤣🤣🤣🤣😁
 
Wakuu jana Messi kaendelea kuonyesha kuwa bila Barcelona hawezi kushine baada ya timu yake ya Argentina kulambwa 3 kwa moja toka kwa wahuni wa Venezuela hii inaashiria kuwa messi ni kama wifi disvonnect him from barca hamna network hahahaj

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hawa jamaa hawajawahi pata Kocha sahihi.......anyway vipi jembe letu cr7?
 
Back
Top Bottom