Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Lawama zimekuwa nyingi sana juu ya mashabiki waliojitokeza jana taifa, ikidaiwa takribani ya 60% ya watanzania waliofika taifa hawakua mashabiki wa ukweli, wengi walienda kwaajili ya kufwata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Africa Football is totally a mess.. Congolese side AS Vita Club have threatened to lodge an official complaint with CAF against Tanzanian club Simba SC for spraying an unknown material in the...
5 Reactions
131 Replies
15K Views
Huwezi ukaita Wachezaji Watatu ( 3 ) wa Simba SC halafu ukawaita Wachezaji Wanne ( 4 ) wa Yanga SC. Kuanzia leo namchukia rasmi huyu Kocha na naomba Mungu tufungwe mechi zote kuanzia sasa. Na huwa...
3 Reactions
117 Replies
15K Views
Siku ya jana uwanja wa taifa ulijaa hadi watu wakakosa siti wakaishia kukaa kwenye ngazi na wengine wakasimama huku wengine wakikosa kabisa hata kuchungulia tu uwanjani wakaishia kuzunguka nnje...
5 Reactions
27 Replies
6K Views
"I'm happy with a draw because I'm both a Ugandan and a Tanzanian, all my countries won." Rais Museveni alisema katika mechi iliyopita bora draw kwani yeye ni raia wa nchi zote. Tunashukuru...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wababa na wamama Kwanza kabisa nimshukuru sana Rais Magufuli kwa ahadi ya kuwapa viwanja mashujaa wetu wa Taifa Stars baada ya ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Ukweli usiopingika timu ya Taifa ya Uganda jana ilikuwa kama inafanya mazowezi. Inafaa tuwapongeze kwa kutuwezesha kupata ushindi. Ukimpongeza mshindi usimsahau aliyepambana nae. Sent using...
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Mungu wetu ni mwema sana. Ameiongoza na kuilinda timu yetu ya Taifa ya soka (Taifa Stars) hadi ilipofikia. Ameipa alama ilizonazo sasa na kesho anaipa nafasi na baraka za kufuzu kwa michuano ya...
16 Reactions
126 Replies
12K Views
Wakuu naombeni msaada wenu, nimepata kibarua hapo Kisarawe ila makazi yangu ni huku Kigamboni. Naweza kwenda Kisarawe na kurudi kila siku? Ikumbukwe sina usafiri binafsi maana nisije nikaiga mtu...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Natumai mmeamka salama, Hizi fikra zilianza kujengeka tangu mechi za mnyama hasa kuanzia mechi na js saoura. Ikafika mbali mpaka kuonekana kuwa eti tunapulizia timu pinzani sumu ya kulegeza...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Huku intamba-mu-ragamba kule the cranes pale Harambee stars afu tunamaliza na sisi wenyewe baba la baba Taifa stars. Hakika ni furaha sana kuona timu nyingi za ukanda wetu kwenye michuano mikubwa...
2 Reactions
3 Replies
777 Views
Ninachokiweka hapa na sehemu tu ya Maongezi yangu ya Kirafiki ambayo huwa nafanya na Wachezaji wengi wa Kiganda hasa hawa wanaocheza hapa Tanzania hasa kutokana na Historia yangu binafsi na hiyo...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Aishi Manula Hassan Kessy Gadiel Michael Erasto Nyoni Kelvin Yondan Jonas Gerald Mkude Simon Msuva Farid Musa Mbwana Samata John Boko Shiza Kichuya Kisibadilishwe hadi dakika 90 kwani hata ‘...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Awali niliwaambia kuwa timu yetu ikishinda mechi ya Leo nahama Tz, Sasa Niko njiani kuelekea msumbiji , maana Sina imani na mchezo was leo, Na wewe uliyesema utakunya kuanzia taifa Hadi mwenge...
0 Reactions
6 Replies
840 Views
Lengo langu ni kutaka kufahamu tu ili nipate maarifa . Naomba kuwasilisha
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Hivi kwenye mechi ya simba na yanga kuna shabiki au kiongozi wa team mojawapo anayeweza kuingia kwenye chumba cha team pinzani nakupulizia dawa? Uwanja wa wa taifa ni neutral ground zikucheza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
9 Reactions
67 Replies
7K Views
Maombi yangu maalum ni kwa Lesotho kupata ushindi mnono wa goli 3 bila kesho dhidi ya Cape Verde. Kama Lesotho atapata pointi 3 zote kesho na timu ya wema sepetu na bashite ikapigwa 2 bashite na...
17 Reactions
94 Replies
8K Views
Huu mwaka umeanza kutujia vizuri kabisa na tunaanza kuyaona matunda ya juhudi zetu za "miaka nenda rudi" katika kujiinua kisoka. Ni ukweli usiopingika, tumekuwa watazamaji kwa wenzetu kwa miaka...
13 Reactions
61 Replies
6K Views
Back
Top Bottom