Una maana gani mdau
Ss9
the Legend☆[/QUOTE
Vp kwa channel za kibongo
Azam tv hawana haki yakuonyesha mechi hii wanaonyesha ZBC2 na ss9
Kwa vile uko Dar tena ukitokea Kigoma umetusahau wa Kigoma Du ama kweli ww kama hujui nyamaza tu wengine hatuna uwezo wa kufika huko nauli kubwa sana mjomba halafu unajua wote tunakaa Dar
Una uhakika Mkuu watu tulambe feeza za Wana nzengoAzam tv hawana haki yakuonyesha mechi hii wanaonyesha ZBC2 na ss9
CCM tv sina hakika