Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mungu kajalia mechi ya Simba na Yanga ndiyo iliyoamua ubingwa. Mungu amejalia pia timu inayodhaminiwa na GSM imeifunga timu ambayo imekataa kudhaminiwa na GSM kwenye mechi ya maamuzi nani awe...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa...
2 Reactions
65 Replies
3K Views
Hello! Bila kupoteza muda. Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali. Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori...
17 Reactions
54 Replies
4K Views
Mangungu pale Simba ni sawa na jibwa lisilo na meno Mashabiki wa Simba ambao hawaijui hata kurasa 1 ya katiba ya Simba ndo hutokea na kumlaumu Mangungu pale timu inapofanya vibaya 1. Mangungu...
4 Reactions
14 Replies
872 Views
Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao...
7 Reactions
74 Replies
4K Views
MJIANDAAE KUKERREKAAA SISI NDUO YANGAAA WANA KUWAKERAAAA TUKUTANE NEW AMAN STADIUM
4 Reactions
4 Replies
256 Views
Katika tasnia ya michezo nchini Tanzania, jina la Eng. Hersi Said limeendelea kung’ara kama mfano wa uongozi bora, ubunifu, na maendeleo ya kweli. Kupitia nafasi yake kama Rais wa Klabu ya Yanga...
1 Reactions
10 Replies
656 Views
NIANZE KUWAPONGEZA SIMBA SC KWA UTHUBUTU WA KUINGIXA TIMU MENGI YALISEMWA LAKN WAMETHUBUTU KUINGIZA TIMU PILI NIWAPONGEZE KWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI WANA YANGA WENGI TULIINGIA NA MATOKEO YA...
2 Reactions
0 Replies
258 Views
Wakuu ni nani humu ambae ni fundi wa 8 ball pool team nimuadd rafiki tukichafue.
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025...
1 Reactions
5 Replies
595 Views
Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi. Na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha Wydad hawathamini kabisa uwezo wa...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata...
22 Reactions
53 Replies
3K Views
Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba...
0 Reactions
3 Replies
507 Views
1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans 2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakimmowa na Simba SC 3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji 4. Kiungo...
15 Reactions
474 Replies
84K Views
Mimi sio mshabiki wa Murtaza Mangungu na simpendi kabisa kabisa, kwa sababu hana lugha nzuri, hata sijui kwa wananchi wake jimboni pale Kilwa Kaskazini anawajibu kama anavyowajibu wanachama...
5 Reactions
5 Replies
698 Views
GT. Venance alikuwa ni namba sita machachari kweli kweli alikuwa tegemeo kubwa sana la timu yake . Kile kitendo cha kukosa goli la wazi akiwa yeye na golikeeper kimeigharimu timu yake hadi leo...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimecheka sana baada ya kuiona video hii ya bwana mdogo akilia huku akitoa maneno nataka kuhamia Yanga Hii yote inatokana na mateso ya kufungwa timu yake ya Simba, kwahiyo dogo kaona ya nini...
4 Reactions
4 Replies
477 Views
I will be short list yangu ya matapeli since 2014 - 1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015) 2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015) 3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016) 4. Pierre...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…