Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nyota wa Yanga, Kibwana Shomari, Dickson Job na Abuutwaleeb Mshery wamepanga kutoa msaada wa bima za afya kwa watu 500 mkoani Morogoro kupitia tamasha lao la Wape Tabasamu 2025 Kilele cha tamasha...
2 Reactions
7 Replies
538 Views
Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajqbu. Imefanya mambo yaliyofanywa na baba zao miaka 32 iliyopita. Kwangu Mimi Simba hii ni moja kati ya kikosi Bora kabisa Cha Simba,hii ni Kwa sababu ya...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga...
15 Reactions
84 Replies
3K Views
Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Hoja. Wengi wanaogopa kusema kwa sababu hizi timu mbili Zina nguvu kubwa. Yaani kama ni Mungu basi ungekuwa Ibada lakini ukweli ni kwamba ulucifer ni hali ya juu sana. Mimi kama Mimi sipendi...
2 Reactions
4 Replies
230 Views
Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo. Nimerudi...
14 Reactions
80 Replies
4K Views
SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG...
14 Reactions
760 Replies
41K Views
Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje. Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
I will be short kipa bora wa ligi kuu, nyani 🐒 pin pin camara ni free agent.
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Labani og.... Semaji la cafu Toka lilambe teuzi pale u-koloni ..... Haijawahi kushika wala kushuhudia kombe lolote likitua pale msimbazi Je ni laana ni laana ya...
2 Reactions
25 Replies
956 Views
Nimepitia majina ya timu za taifa kwa mataifa yote ya Afrika nikahisi kuwa Tanzania, Ghana na Kenya inabidi tubadilishe majina yatu; neno "stars" linakuwa monontonous. Somalia na South Sudan...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
mbaya zaidi kuna taarifa baadhi ya uwanja wanauza siti za uwanja kwa mataifa yanayozitakahttps://youtu.be/gzc9b6MP39o
1 Reactions
0 Replies
401 Views
Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
11 Reactions
123 Replies
9K Views
1. Ushindi wa goli nyingi: Simba Sc 6 Yanga Sc 0 Hii ilikuwa 19/07/1977 ambapo Simba Sc iliwanyanyasa sana ndala kwa kuwachapa goli 6 kavu. Mwaka 2012 hii rekodi ilikuwa inavunjwa, ila huruma ya...
2 Reactions
60 Replies
14K Views
Nafikiri hizi stori za Aziz Ki kuuzwa Wydad tuzizike rasmi na tuachane nazo. Yanga haijawahi kutaka kumuachia Aziz Ki na kitendo cha aliyekuwa kocha wa Mamelodi, Rulani Mokwena kumsogeza na...
4 Reactions
139 Replies
8K Views
Hapa Kila Mmoja kavuna alichojiandaa nacho kwa msimu mzima kama ambavyo mwekezaji na mdhamini walivyoshika Kila Mmoja alichoambulia msimu mzima👇🤣🤣🤣
7 Reactions
15 Replies
638 Views
Huyu jamaa namkubaligi sana. Kwa sasa naona hatas Mimi naenda kumuangalia kwenye lig Yao. Pogba ana entertaining football huwez ukamfananisha na MD Hawa tunaowaona sasa. Professionally...
5 Reactions
15 Replies
751 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C. Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama...
34 Reactions
2K Replies
98K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…