Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA (#FIFACWC) mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya...
A matter above is concerned,
Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida.
Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwafahamisha wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa kuanzia msimu ujao wa 2025/2026 litakuwa na mshirika (partner) wa michezo ya...
Klabu ya Fluminense ya Brazil imeweka historia kwa kuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...
Mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari huko Uhispania akiwa na umri wa miaka 28, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Ureno.
Inaripotiwa kuwa Jota...
Kwanzia sasa Hakuna mchezaji atakaevaa Jezi namba ishirini pale Liverpool, Jezi imestaafishwa kama heshima kwa Diogo Jota.
RIP Jota, na Ahsante Liverpool kwa kutambua mchango wake!
Habari waungwana,
Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao.
(Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP).
Kama mdau...
Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini Uhispania.Ibada...
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi kutoka Algeria ametambulishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka...
ANDIKO LA KWANZA LA AHMED ALLY KUHUSU SIMBA YA SASA..!!
.
Nianze na pole kwa Wana Simba kumaliza msimu bila ubingwa katika mashindano tuliyoshiriki hususan ligi kuu ya NBC
Wana Simba tuepuke...
Klabu ya Fluminense imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya kombe la Dunia la FIFA ngazi ya Klabu baada ya kuichapa Al Hilal mabao 2-1.
Mabao ya ushindi yalifungwa...
Kwa taarifa za kiinteligensia inasemekana Yanga Wana kikosi Cha Siri Cha propaganda ambacho huwalisha matangopori ya usajili Simba
How does it work???
Ni Kwamba kipindi Cha usajili macho ya...
@alexngereza._ anasema kuwa wanasimba mnapaswa kumuondoa Mo Dewji kwanza kuliko kupambana na Mangungu.
Katiba ya Simba iliipa bodi ya ligi mamlaka makubwa ya kuendesha timu ....bodi hyo ipo chini...
β½ Timu zinazovaana:
π΅ Wasanii kigoma fc vs π΄ Buhanda Stars
π Eneo: Buhanda Stadium β Kigoma
π Tarehe: Jumapili, 6 Julai 2025
π Muda: Saa 10:00 Jioni (4PM)
LENGO LA MECHI:
Hii si mechi ya...
Leo Lamine Yamal kavunja record Kwa Jersey mpya namba 10 yenye jina lake ya Barcelona msimu 2025/26 kabla jata kuzinduliwa na kununuliwa Kwa wingi.
Haijawahi kutokea kwenye historia ya mpira hata...
Katika kupitia historia ya mpira bongo kuna mtu alinisanua kuhusu timu inaitwa Pan African, kwa maelezo yake anasema ilishawahi kufika robo fainali CAF champions league, katika kupitia mtandaoni...
Ni rasmi, beki kinda Lameck Lawi amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga nasi kwa ajili ya msimu ujao
Mchezaji wa Coastal Union, Lameck Lawi amemwaga wino wa kuitumikia Azam FC kwa mkataba wa...
Salaam Members:
June mwaka huu TFF walitoa tangazo la kuwepo kwa uchaguzi kwa nafasi ya Urais na nafasi za Wajumbe 6 wa kamati ya utendaji.
Hapa utazipata updates za hatua zote za awali hadi...
Kwa kutokea msiba wa Diogo jota aliyekuwa ni mchezaji wa Liverpool nimeamini kwamba huu mchezo unaunganisha watu wengi sana huu mchezo unachukua nafasi kubwa kwenye maish
Baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota kupata ajali leo asubuhi na kufariki dunia, klabu hiyo imeistahafisha jezi namba 20 iliyokuwa inavaliwa na nyota huyo raia wa Ureno.
Soma,Pia...