Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ni dakika ya 51:03' hadi sasa, na matokeo ni 0 - 0. Naona Yanga wanajitahidi ku-perform hapa, wamewazidi kiasi AFC (moja ya timu kubwa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki). Yanga wameonyesha...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Wachezaji saba wa Yanga wamejiweka kwenye nafasi ngumu ya kupata namba katika kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ugenini dhidi ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Mechi yenu ihamisheni kutoka Chamazi na muipeleke kwa Mkapa / kwa Mchina. 2. Fanyeni Kiingilio kiwe Tsh 1,500/ na Wanawake bure. 3. Hakikisheni kila anayeiingia Uwanjani anapewa ama Maziwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za hapa jamvini wadau! Naomba mwenye majina ya matawi matano MAARUFU NA YENYE WASHABIKI KINDAKINDAKI ya Simba Sports Club na Young Africans Sports Club yaliyopo DSM anitajie na mahali...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Naona Mayweather anajitapa kweli kwenye social media zake kuhusu hizi data za BoxRec, kwama numbers always dont lie Nini maoni yako mdau wa boxing
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuelekea kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii leo Agosti 17, 2019 Ni mnyukano kati ya bingwa wa TPL, Simba SC na bingwa ASFC, Azam FC, ni mechi mzuri ya aina yake yenye burudani nyingi za soka na ladha...
23 Reactions
186 Replies
28K Views
Huu ni msimu wa tatu wa michuano hiyo, ambapo katika usajili na ufunguzi, timu mbalimbali zimejitokeza kujisajili na kutakuwa na hatua za mtoano kisha robo fainali, nusu fainali na fainali...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Na Ally Mayai Tembele Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno. Nilisema Yanga...
31 Reactions
191 Replies
17K Views
Ni kama vile hadithi ya kufurahisha, kijana anapokuwa Chuo, yeye na wenzake wataanza kujipangia kuwa baada tu ya kumaliza chuo, basi watapata kazi na moja kwa moja atakuwa CEO! Lakini Kumbe...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Uwanja mbovu utafikili tupo namfua Singinda Jiji kubwa la tatu ila ata kuboresha sehemu ya kuchezea kwa kupanda nyasi za kisasa inakuwa issue kweli? Pale ni jiji la utarihi inakuwaje serikali ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Michuano ya Sprite Bball Kings 2019 inayoandaliwa na EATV, EA Radio kwa kushirikiana na kinywaji cha Sprite imezinduliwa Jumamosi Agosti 17 katika viwanja vya Mlimani City. Huu ni msimu wa tatu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unaikumbuka barcelona ya Xvavi,Iniesta,Messi,Pedro na David Villa? Hawa jamaa ilikua ni kosa la jinai kuwatangulia kuwafunga. Mpira unahamia golini kwako huku goli zikimiminika km maji.Muulize...
15 Reactions
29 Replies
3K Views
Hizi ndio changamoto zinazowakabili yanga kwa Sasa 1.uongozi Kiukwel tokea yanga wachague viongozi wapya wa timu wameshindwa kabisa kuhandle timu pamoja na kueleza malengo ya wazi kwa msimu huu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Simba SC wanatufundisha kuwa; kuna Afisa Habari(Media Officer) hapa amelengwa Gift Macha na pia atakuwepo Msemaji wa Klabu(Club Spokerman) hapa anabaki Sheikh Haji Manara(sijui imeeleweka hii)...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau wa michezo? Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msimu huu sizani Kama watafanya vizuri imekuwa ikimtegemea mess zaidi hii imechangiwa na kocha wao kuwa mbovu ukiangalia team ya Barcelona Ina timu nzuri Sana Bila hata kuwa na mess wanawatu Kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Top football news today Sanchez heading to come back Messi ,suarez, hazard injuries Man u to come after beat twice wolves For more infoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Yanga ikiwa imeingiza full mkoko full kikosi imekula bao 2 bila na timu ya Polisi Tanzania Yanga imecheza mechi hii kujiandaa za mechi ya kimataifa dhidi ya Township rollers. Ama kweli sikio la...
7 Reactions
114 Replies
12K Views
Kocha Emogi alifukuzwa Simba ikiwa inaongoza ligi baada ya kupokea kipigo cha aibu kutoka kwa Green Worriers.Nimeona Zahera unataka kupita mlango ule ule aliopitia Emogi.Najua utajitetea kwamba...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…