Box Rec: Greatest Boxer of all time

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Messages
2,676
Points
2,000

Mayu

JF-Expert Member
Joined May 11, 2010
2,676 2,000
Naona Mayweather anajitapa kweli kwenye social media zake kuhusu hizi data za BoxRec, kwama numbers always dont lie

Nini maoni yako mdau wa boxing
FB_IMG_1565756797694.jpeg
 

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
1,561
Points
1,500

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
1,561 1,500
list ina mapungufu yaana hadi namba 25 MIKE "IRON" TYSON hayupo!!!!! kuna boxer flan Black Muingereza aliwagaragaza sana USA naye hayupo
Lennox Lewis, Yani kwenye hiyo list ukiacha hao ambao bado wapo kwenye game mpaka sasa.... Mike Tyson kapiga karibia wote
 

Tresa

Senior Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
119
Points
250

Tresa

Senior Member
Joined Oct 23, 2018
119 250
Mike Iron Tyson ndo alikuwa boxer ngumu zasikuizi wanashikana tu. king of upper cut is my best na enjoy kuona akiwadondosha boxer wengine uwanjani back in day.
 

Qwy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
1,418
Points
2,000

Qwy

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2018
1,418 2,000
List uozo kabisa, kwa anayejua historia ya boxing hawezi kudanganywa kirahisi hivyo.
 

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Messages
2,676
Points
2,000

Mayu

JF-Expert Member
Joined May 11, 2010
2,676 2,000
Mike Iron Tyson ndo alikuwa boxer ngumu zasikuizi wanashikana tu. king of upper cut is my best na enjoy kuona akiwadondosha boxer wengine uwanjani back in day.
Kuna tofauti kati ya bondia maarufu na bondia mwenye rekodi nzuri
 

MR BINGO

Senior Member
Joined
Feb 12, 2016
Messages
164
Points
250

MR BINGO

Senior Member
Joined Feb 12, 2016
164 250
Ok mm namjua Jamaa anaitwa GGG simwon hapo Ok labda hakidhi viwango. Haya Tyson vp????? Wale wazee waliokuwa wanapigana na mohamed ali ????
 

Forum statistics

Threads 1,343,878
Members 515,249
Posts 32,800,595
Top