Majina ya matawi maarufu ya Simba na Yanga jijini Dar es Salaam

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Habari za hapa jamvini wadau!

Naomba mwenye majina ya matawi matano MAARUFU NA YENYE WASHABIKI KINDAKINDAKI ya Simba Sports Club na Young Africans Sports Club yaliyopo DSM anitajie na mahali yalipo.

Kuna utafiti unatakiwa kufanyika, na kwa hiyo naomba kama huna taarifa za msaada usiharibu thread hii.

Ahsanteni
 
Samahani wadau naomba muendelee kunisaidia majina ya matawi ya SIMBA na YANGA maarufu jijini DSM.
 
Back
Top Bottom