Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,714
69185821_2505602026326013_2494545605704024064_n.jpg

Yanga ikiwa imeingiza full mkoko full kikosi imekula bao 2 bila na timu ya Polisi Tanzania
Yanga imecheza mechi hii kujiandaa za mechi ya kimataifa dhidi ya Township rollers.

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Sio kwa aibu hii.
68327537_2432761993411852_4510799822214660096_o.jpg

Kikosi kikali
 
Polisi Tanzania watashiriki ligi kuu bara wakiongozwa na Seleman matola wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani wa ushirika Moshi baada ya ushindi huo wa goli mbili kwa sifuri,Magoli ya Marcel kaheza dakika ya sita na Ditram nchimbi aliyefunga dk ya 74,huu ulikua mchezo wa maandalizi kwa Yanga dhidi ya Township rollers ya Botswana ktk ligi ya mabingwa Afrika.
Ngojea mapovu sasa
 
Mchezo wa kirafiki kati Yanga na timu Polisi Tanzania umemalizika katika viwanja vya ushirika mjini Moshi Kilimanjaro kwa timu ya Yanga kulala goli 2 bila.
Poleni vyura kwa kukalishwa na Polisi Tz
 
Huwa nasemaga Sana kwamba kuna timu Bora Tu huko mikoani lakini siasa na upangaji wa matokeo upo kisimba na kiyanga
 
Polisi Tanzania watashiriki ligi kuu bara wakiongozwa na Seleman matola wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani wa ushirika Moshi baada ya ushindi huo wa goli mbili kwa sifuri,Magoli ya Marcel kaheza dakika ya sita na Ditram nchimbi aliyefunga dk ya 74,huu ulikua mchezo wa maandalizi kwa Yanga dhidi ya Township rollers ya Botswana ktk ligi ya mabingwa Afrika.
Hongera kocha matola
 
Matola kabadilisha kamwene na pingu lakini kipigo kipo pale pale.
 
Back
Top Bottom