Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wana Jf..naomb kuuliza hivi michezo ya mtandaon kama vile spin huwa inaukweli au ni utapeli? jana nmejaribu kucheza wakanitumia unumbe kwamba nmeshinda lakini badae nikaona kama vile ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kufuatia kuendelea kusuasua kwa Man Utd msimu huu mara hata baada ya kubadili kocha toka Mourinho na sasa Ole Gunnar bado timu imekuwa ni homa ya vipindi. Inaonekana baadhi ya wachezaji hawana...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Azam TV walitutangazi a kwamba wataonesha mechi ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) mchezo kati ya Chelsea na Sheffield United lakini cha ajabu mda mfupi mchezo unapotaajia kuanza wakakata matangazo na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF, kwa kuangalia hii ratiba ya CAF Champion League 2019/2020 unaweza kuzitabiria timu zipi zinazoweza kufikia hatua ya makundi? Je katika hii ratiba, ni mechi baina timu zipi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Bondia Tyson Furry (Gypsy king) amesema anahitaji mkono mmoja tu kupigana na bondia Andy Ruiz (Destroyer) maana akipigana naye kwa mikono miwili atamuonea. Ikumbukwe Andy Ruiz ndiye bondia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni kashifa na aibu isiyovumilika yaani Taifa kubwa km TZ tunapeleka wanamichezo 9 kwenye mashindano ya All African Games wakati Kenya wanapeleka 200? Yani mpaka Burundi wanaokatana mapanga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza...
27 Reactions
241 Replies
22K Views
Kwa wale wapenzi wa mieleka ya WWE, mkali wa mchezo huo Roman Rain ametangaza kujivua ubingwa wa Universal Championship kutokana na kuugua saratani ya damu -Leukemia. Jambo hiki limeleta simanzi...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Naona mambo ya AFCON yanajirudia. Kipindi kile walitangaza kuonyesha mechi zote wakaishia kuonyesha mechi chache. Toka juzi wanatangaza kwamba wataonyesha mechi za Ligi ya waliotutawala. Cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya Magazeti siku Yanga ikifungwa hayaandiki kwa Ukubwa wake na tena unaweza hata Habari ya Yanga SC Kufungwa usiikute au ukaikuta katika Kurasa za ndani ila Siku tu Simba SC ikifungwa utaona...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Ndugu yangu Haji Manara ( Msemaji wangu wa Simba SC ) nadhani sasa kwa huyu Msemaji mpya wa Yanga SC Mtangazaji Antony Nugaz wa Clouds Media Group ambaye muda wowote kuanzia sasa atatangazwa na...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Jana akihojiwa katika kipindi cha michezo, Clouds FM, Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amedai uwezo wa yule mkata umeme Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman toka nchini Sudan ni sawa na uwezo wa...
22 Reactions
34 Replies
6K Views
Yangu au Simba ina maadili Yao hivi vikundi vya kuilinda timu wanavyo kwa ajili ya kulinda hujuma ndani na nje ya uwanja Nawashauri muwaite mkae nao wajipange Lakini mkijifanya kichwa ngumu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba vs JKT Tanzania Uwanja Uhuru Stadium Muda Saa 10:00 jioni
8 Reactions
87 Replies
11K Views
Tanzania kumekuwa hatufanyi vizuri Kwnye mchezo wa mpira wa miguu kwa muda sasa. Leo tunashinda, kesho tunapoteza, kesho kutwa tunasubiria mechi ya mwisho na kumsumbua Mungu kwa maombi ili kupata...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa Mpira Naomba ufafanuzi na tafsiri ya haya maneno kwenye Soka [emoji419]Work Rate [emoji419]duels won [emoji419]clearances [emoji419]most take-ons [emoji419]Interceptions...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Azam tv wamethibitisha kuanza kuonesha mechi za epl kesho wataanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield United saa 11:00 jioni naona Azam wanaelekea kwenye mapinduzi ya burudani sisi kama wadau...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani Baada ya miaka 7 kupita Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
*32 BORA AFRICA IMETOKA BAADA YA MAKAPI YOTE KUONDOKA MAPEMA* *_CAFCL First Round_* Al-Nasr SC 🇱🇾 vs. 🇲🇦 Raja CA JS Kabylie 🇩🇿 vs. 🇬🇳 Horoya AC Elect Sport 🇹🇩 vs. 🇹🇳 Espérance Tunis...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom