Breaking News: Muda wowote kuanzia sasa Mtangazaji Machachari na mwenye Maneno ya Shombo Antony Nugaz wa CMG atatangazwa kuwa Msemaji wa Yanga SC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ndugu yangu Haji Manara ( Msemaji wangu wa Simba SC ) nadhani sasa kwa huyu Msemaji mpya wa Yanga SC Mtangazaji Antony Nugaz wa Clouds Media Group ambaye muda wowote kuanzia sasa atatangazwa na Uongozi wa Yanga itabidi ujipange kwani kama ni maneno ya Shombo, ya Karaha, Kuudhi na Utoto wa Mjini huyu nae anao tena sana tu hivyo niseme tu mapema Kwako kuwa sasa umempata Mbabe wako.

Sitegemei sasa kuwaona mkicharurana kwa ' Madhaifu ' yenu Binafsi kwani najua mtaharibiana bure na kuharibu hata Taswira ya Vilabu vyenu hivi viwili vyenye nguvu na ushawishi mkubwa hapa nchini. Hakuna Mtoto wa Mjini ambaye halijua tatizo binafsi na Antony Nugaz na pia hakuna Mtoto wa Mjini asiyejua tatizo binafsi la Haji Manara hivyo nawaombeni mkiwa mnacharurana yawe tu ni Matani ya Kunogesha Upinzani wetu wa Jadi na siyo Kuchafuana japo nikiri wazi kabisa kuwa ukiweka katika Mizania tatizo binafsi alilonalo Antony Nugaz ni baya zaidi kuliko lile la Haji Manara.

Nikiwa kama mwana Simba SC na Mwanamichezo nimependa huu Ujio wa Msemaji mpya wa Yanga SC Antony Nugaz kwani utamfanya sasa Msemaji wa Simba SC asibweteke na asijione kuwa Yeye pekee ndiyo Mbabe wa Mdomo ( Maneno ) badala yake anatakiwa sasa ajipange vyema vinginevyo asije Kushangaa anazidiwa na Nugaz kwa mbali mno.

Kitu pekee ambacho nina uhakika nacho kuwa Klabu ya Yanga SC ( Watani zangu ) watafaidika na Msemaji wao huyu mpya Antony Nugaz ni kwamba Jamaa ukiachia mbali kuwa nae ana maneno mengi tena yale ya Shombo, Karaha na Kuudhi pia ni Mbunifu mzuri wa Kampeni za Maendeleo hivyo huenda uwepo wake hapo Yanga SC ukawa na Faida Kubwa na Kuitangaza Yanga SC vyema na pia kuisababishia Kuizidishia Mapato vile vile.

Pole sana kwa akina Hemed Kivuyo wa ITV na Radio One kwa Kuikosa hii nafasi japo natambua uliitaka sana tu ila Kutojiamini Kwako na Kusitasita ndiyo Kumekuangusha kwani nakumbuka hata Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Mwakalebela kwa Kukuheshimu alishakufuata hadi hapo Ofisini Kwako na kukuita ndani ya Gari lake na mkaongea kisha akakupa Mkataba wako Uusome na kama ukishindwa basi umuhusishe Mwanasheria wako na Wewe ukampa Mwanasheria wa hapo Ofisini Kwenu akusaidie Kuutafsiri lakini cha Kushangaza huku ukidhani kuwa Yanga SC inakuhitaji mno ukawa unawaringia na hata kuna muda ukawa hupokei Simu zao hatimaye sasa wamekutosa rasmi na utaendelea Kusota hapo ITV na Radio One ambapo Mishahara yenu huwa mnapewa kila baada ya Miezi Minne Minne au hata Mitano Mitano wakati ungekuwa Yanga SC Umasikini ndiyo ungekuwa bye bye Kwako.

Karibu sana Antony Nugaz ndani ya Yanga SC kama Msemaji ( Afisa Habari ) wao mpya.
 
Nayo ni aina ya ujinga tu, unatafuta msemaji wa kupambana na Manara au kuwa msemaji wa timu?
 
Umeuelewa Uzi lakini? Kwa nature ya Mpira wetu na Timu zetu hizi Kubwa mbili ni lazima Msemaji awe anajua mno Kuinanga Timu Pinzani ili Kunogesha Utani wa Jadi na pia Kuimarisha Hamasa hasa ukitambua kuwa Tanzania ni Simba na Yanga utake usitake. Na ni nani amekuambia kuwa ukiwa Msemaji wa Yanga au Simba nje ya Kupambana Kimaneno pia huwezi ukawa unailetea Maendeleo Timu yako? Hivi Wewe unayajua vyema Majukumu ya Msemaji / Afisa Habari wa ama Taasisi au Shirika na Kampuni yoyote? Siku zingine jitahidi Kuficha Upuuzi wako na kama unaona hupendi Matani ya Simba na Yanga hujalazimishwa uwe unafuatilia na tuache Sisi tunaopenda hii Micharurano ya Simba na Yanga tafadhali.
 
Jinsia yako ni KE bila shaka mkuu. Uandishi wa .....
 
Antonio namjua vizuri..huyu jamaa pia inasemekana eti nae ni nahii..🤫

Hauko mbali na Ukweli ( japo na Mimi bado naendelea Kulifuatilia Kiumakini kwani linasemwa sana na Wadau ) na ndiyo maana mapema sana nimetahadharisha kuwa naomba Micharurano yao na Haji Manara iwe ni ya Kimpira tu na isiwe ya mambo yao Binafsi kwani hata huyu Msemaji wetu Simba SC nae ana ' Udhaifu ' wake ambao kama Mwenzake nae akiamua Kuutumia basi patachimbika na hata Taswira za hivi Vilabu viwili zitaharibika. Nimefurahia Ujio wa Antony Nugaz kwakuwa nae kama Mtoto wa Kutoka Tanga ni Tajiri wa maneno ya Shombo, Karaha na Kuudhi tena hata Kumzidi Mkuu wa Wilaya ya Arumeru sasa Jerry Muro. Mpira sasa utachangamka na Hamasa juu ya Timu hizi na Micharurano yao itakuwa ni Burudani tosha Kwetu.
 
karibu Bongo taifa ambalo jirani anakujua kuliko unavyojijua mwenyewe..karibu antonio Nugaz alikua anajua sana kuelezea vivutio vya Tanzania yupo vizuri
 
Nugaz namuonaga mtu wa busara sana na weledi. Sidhani kama atawezana na manara. Ila namkubali sana.

Asiyetumia busara na hekima atajidondosha mwenyewe na klabu yake...Yupo msemaji mmoja alikuwa anatukera baadhi yetu kwa kweli...maneno ya fedhuli kila mara kuisema timu nyingine pamoja na majisifu na majigambo yasiyo na maana...ni mbaya sana...
 
Ndugu yangu Haji Manara ( Msemaji wangu wa Simba SC ) nadhani sasa kwa huyu Msemaji mpya wa Yanga SC Mtangazaji Antony Nugaz wa Clouds Media Group ambaye muda wowote kuanzia sasa atatangazwa na Uongozi wa Yanga itabidi ujipange kwani kama ni maneno ya Shombo, ya Karaha, Kuudhi na Utoto wa Mjini huyu nae anao tena sana tu hivyo niseme tu mapema Kwako kuwa sasa umempata Mbabe wako.

Sitegemei sasa kuwaona mkicharurana kwa ' Madhaifu ' yenu Binafsi kwani najua mtaharibiana bure na kuharibu hata Taswira ya Vilabu vyenu hivi viwili vyenye nguvu na ushawishi mkubwa hapa nchini. Hakuna Mtoto wa Mjini ambaye halijua tatizo binafsi na Antony Nugaz na pia hakuna Mtoto wa Mjini asiyejua tatizo binafsi la Haji Manara hivyo nawaombeni mkiwa mnacharurana yawe tu ni Matani ya Kunogesha Upinzani wetu wa Jadi na siyo Kuchafuana japo nikiri wazi kabisa kuwa ukiweka katika Mizania tatizo binafsi alilonalo Antony Nugaz ni baya zaidi kuliko lile la Haji Manara.

Nikiwa kama mwana Simba SC na Mwanamichezo nimependa huu Ujio wa Msemaji mpya wa Yanga SC Antony Nugaz kwani utamfanya sasa Msemaji wa Simba SC asibweteke na asijione kuwa Yeye pekee ndiyo Mbabe wa Mdomo ( Maneno ) badala yake anatakiwa sasa ajipange vyema vinginevyo asije Kushangaa anazidiwa na Nugaz kwa mbali mno.

Kitu pekee ambacho nina uhakika nacho kuwa Klabu ya Yanga SC ( Watani zangu ) watafaidika na Msemaji wao huyu mpya Antony Nugaz ni kwamba Jamaa ukiachia mbali kuwa nae ana maneno mengi tena yale ya Shombo, Karaha na Kuudhi pia ni Mbunifu mzuri wa Kampeni za Maendeleo hivyo huenda uwepo wake hapo Yanga SC ukawa na Faida Kubwa na Kuitangaza Yanga SC vyema na pia kuisababishia Kuizidishia Mapato vile vile.

Pole sana kwa akina Hemed Kivuyo wa ITV na Radio One kwa Kuikosa hii nafasi japo natambua uliitaka sana tu ila Kutojiamini Kwako na Kusitasita ndiyo Kumekuangusha kwani nakumbuka hata Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Mwakalebela kwa Kukuheshimu alishakufuata hadi hapo Ofisini Kwako na kukuita ndani ya Gari lake na mkaongea kisha akakupa Mkataba wako Uusome na kama ukishindwa basi umuhusishe Mwanasheria wako na Wewe ukampa Mwanasheria wa hapo Ofisini Kwenu akusaidie Kuutafsiri lakini cha Kushangaza huku ukidhani kuwa Yanga SC inakuhitaji mno ukawa unawaringia na hata kuna muda ukawa hupokei Simu zao hatimaye sasa wamekutosa rasmi na utaendelea Kusota hapo ITV na Radio One ambapo Mishahara yenu huwa mnapewa kila baada ya Miezi Minne Minne au hata Mitano Mitano wakati ungekuwa Yanga SC Umasikini ndiyo ungekuwa bye bye Kwako.

Karibu sana Antony Nugaz ndani ya Yanga SC kama Msemaji ( Afisa Habari ) wao mpya.
Kwenye maslahi na mshahara hapo aliona mbali sana. Huyo papaaa inashindikana kumlipa mshahara sembuse yeye Kivuyo. Hata ingalikuwa mie ni afadhali kuwadai IPP kuliko kuwadai Yanga, unaweza kutolewa ndukiii na bakora juu kisa unadai chako!!!
 
Hivi simba hatuwezi kumsajili yule msemaji wa uwanja wa mabatini ili "mipapaso square" na notal ziweze kufanyakazi zaidi pale kwa watani zetu wa jangwa lenye mafuriko........!
 
Back
Top Bottom