Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nikweli kwamba kocha ni mwajiriwa na anapaswa kuisaidia timu iliyomwajili kupata usjindi, Shaka la mgongano wa kimaslahi haliepukiki Katika mechi za vilabu sio rahisi lakini kwa timu za Taifa sio...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Hongera sana timu yetu ya taifa kwa kupata sare ya magoli. Kwa mkapa tunaitaji ushindi au Bila bila Mungu ibaliki Tanzania Mungu ibaliki Taifa stars
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Juma Kaseja / Beno Kakolanya 2. Shomary Kapombe / Hassan Ramadhan Kessy 3. Mohamed Hussein Tshabalala 4. Erasto Nyoni 5. Kelvin Yondan 6. Jonas Mkude / Mohamed Issa Banka 7. Simon Msuva / Salim...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu, Naona nchi haiwezi kuhema bila Erasto Nyoni na Kelvin Yondani kwenye ulinzi. Hawa wachezaji waliomba kustaafu kuchezea timu ya taifa lakini ikabidi waombwe kuendelea sababu ya kukosa...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
BREAKING NEWS| PAPAA ZAHERA MWINYI AKUMBANA NA ADHABU Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Septemba 2, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi Kuu...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Honeymoon is over..!!! Mashabiki wa mpira na Duniani na England kwa ujumla walimzodoa sana Mou kwa msimu mmbaya aliokuwa nao wakachochea hadi Mzee wa watu akatimuliwa. Ole akaja na upepo wake...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Benchi la ufundi la taifa stars wakiwa hawajavalia vipensi kama vya ZAHERA wako nadhifu kabisaaa
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau naomba kuulza ni mchezaji gan aliyesajiliwa na Chelsea aliyewapelekea kufungiwa kusajili
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya muda huu wadau wa michezo, Niende moja kwa moja kwenye mada husika,mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania umekua na unazidi kukua kwa kasi na kupendwa kwa rika zote,pamoja na jinsia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Septemba 2, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020 iliyoanza rasmi...
4 Reactions
101 Replies
11K Views
i} Simba wali wadharau ud songo ii}simba wameenda na matokeo uwanjani nakusahau kuwa mpira ni 90' iii}Simba wamewaacha wachezaji wenye uzoefu na mechi za kimataifa 1] E.okwi 2]...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Wengi wao asili yao sio wa tz wamekuja kutuharibia tu. Nchi hii lazima tuwe makini MBWA wanaongoza kwa kuwinda ni wahapa hapa mimbwa ya kizungu kazi kukaa ndani tu. Inakera saana hii mi MBWA
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam wakuu wote kwa umoja wenu Natumai volume iko sawa sawia kabisa hivyo naelekea kwenye mada moja kwa moja ,, Kumekuwa na wimbi la watu kutoka vilabu mbali mbali hasa simba na man utd kutaka...
1 Reactions
1 Replies
788 Views
Naangalia na kufatilia sana basketball competition inayoendelea china ila najiuliza ni kwa nini team USA ambayo ina mashabiki wengi haina kawaida ya kupeleka wachezaji maarufu kwenye mashindano ya...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Mpira una matokeo matatu na hayo matokeo yanaweza kukuumiza au kukufurahisha tujipange mwakani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bondia huyo kutoka Ukraine aliyekuwa akishikiria mikanda miwili mikubwa ya lightweight 'WBA' na 'WBO' usiku wa leo ameweza kujiongezea mkanda mwingine wa tatu baada ya kumshinda muingereza Luke...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Kama shabiki kindaki ndaki siridhishwi kabisa na matokeo ya mechi 2 za Man U zilizopita. Team inaonekana kucheza ,wachezaji wanajituma kweli kweli lkn nahs kuna sehem katika upangaji team kocha...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Adi Sasa ligi zote za ulaya zishaanza huku baadhi ya time zkiwa na matokeo yasiyolidhisha,epl time Kama 1: man u ,Kati ya mechi nne kashinda mechi moja tu kadraw mbili kufungwa moja licha ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KAMA KUNA WASHAURI WABOVU N SOUTHAFRICA BORA TU WANGESHIKILIA TIMU NZIMA WATUACHIE NDEGE YETU MAANA HATA WANGEBAKI HUKO BADO WASINGEKUWA NA HASARA KWA TAIFA LETU KAMA KUNA MAZUNGUMZO...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Washabiki wa Man naombeni kuwauliza kwa nini Man U walimuuza Huyu Lukaku ?? Niliangalia mechi ya inter Milan week iliyopita Lukaku alifunga goal na leo amefunga Penalty .Kwa upande wangu sijaona...
1 Reactions
1 Replies
863 Views
Back
Top Bottom