Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Toka afike Yanga huyu ni kocha wa visingizio kila kukicha.Tukiacha visingizio vya msimu uliopita,toka msimu huu uanze amekuwa ni kocha wa visingizio viiingi visivyokua na kichwa wala miguu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama uzi unavyijieleza .... Kuna kaubishi hapa. Ila binafsi nakumbuka kama vile DTV ila kuna jamaa hapa anasema C2C mwingine ITV mwingine Channel ten. Karibuni
1 Reactions
26 Replies
5K Views
#FAHAMU Makocha walioingiza pesa nyingi kwa kuuza wachezaji katika klabu moja L. Jardim - €919m J. Mourinho - €730m A. Wenger - €686m C. Ancelotti - €673m M. Allegri - €664m R. Benitez - €617m D...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NANI ANAIJUA KESHO?? MIAKA ya 1980's Mike Tyson alikuwa kwenye ubora wake kweli kweli usingemsogelea ulingoni wala kifedha nje ya ulingo. MIAKA 8 mbele akamuajiri Donald Trump kama mshauri wake...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo tena mbele ya Mh RC Kagera wamepokea kichapo nyumbani kutoka kwa JKT Tanzania Bado dhambi ile inaiandama timu yetu ya Kagera Sugar! baada ya kupokea kichapo cha goli 1 ikiwa nyumbani. Mh...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kenya na Ethiopia wanatutendea vyema Africa. Citizen TV live.. NB: ukiangalia mji wa Berlin jinsi ulivyopangwa, hapa kwetu East Africa miji yetu waweza iita 'takataka' What a beautiful world!
0 Reactions
6 Replies
824 Views
Julai 2003, Chelsea FC ilinunuliwa na bilionea wa kirusi, Roman Abramovich, kutoka kwa 'babu madevu', Ken Bates. Septemba mwaka huo huo, RA 'akamnunua' mtendaji mkuu wa Manchester United, Peter...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Licha ya kubadilisha makocha kila leo, bado tumekuwa tukipoteza mechi karibu zote. Ingawa siwezi kukumbuka majina ya makocha wote tuliobadilisha kwa kuwa sio mfuatiliaji mzuri wa mpira, angalau...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya juzi golikipa Gianluigi Buffon kuweka rekodi mpya ndani ya Serie A ( Ligi Kuu ya Italy) ya kucheza dakika 974 bila kuruhusu wavu wake kuguswa, wengi wameanza kumpa sifa ya kuwa anastahili...
3 Reactions
71 Replies
19K Views
Myben kalengo aliputwa na kipa wa zesco ndani ya box refa kapeta
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naiona hii game yanga anaenda kupindua matokeo ingawa wengi hawawapi nafasi ingawa naona atacheza vizuri Sana nakuwashangaza watu
8 Reactions
70 Replies
6K Views
Juzi wakati Simba Sports club ikitafuta miwa ya Kagera Sugar kisawasawa, kiungo wa Kegera Sugar Gift Mauya alimchezea rafu za Makusudi zaidi ya moja kwa wakati mmoja mchezaji wa Simba Ibrahimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Na kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa...
6 Reactions
65 Replies
7K Views
Hukuteuliwa na Rais JPM ili uwe unaikomoa tu Simba SC kila inapokuja huko Mkoani Kwako Kagera kucheza na Timu yako ya Kagera Sugar bali uliteuliwa ili uwe ' Fair ' kwa Wageni wote ambao watakuwa...
7 Reactions
61 Replies
7K Views
Hayo majibu ya haji kwa Mkuu wa mkoa wa kagera haji manara anakipata wapi? Angenyamaza angikosa nini Hao mabosi wake mbona hawajasema kitu Inaonyesha wanamheshimu RC
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuelekea patashika ya ligi kuu Tanzania, Vodacom Premier League (VPL), nyasi za Uwanja wa Kaitaba Stadium, mkoani Kagera kuwaka moto ambapo leo September 26, 2019 Kagera Sugar, Wana Nkurukumbi...
3 Reactions
114 Replies
13K Views
Ukiangalia timu inavyocheza dhidi ya Zesco huoni km Yanga inakocha. Mpira wanacheza kwa papara sn hakuna mipango yoyote wanayoifanya. Kulia anamuweka benchi Juma Abduli anang'ang'ania wachezaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kitu kilichotokea kwenye fainal hi Africa bado Sana kufikia mafanikio Kam ya Tim za ulay ,, fainal Hain mvuto mechi imejawa na vurugu mechi Kam ndondo cup vurugu tupu
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Huwa najiona MTU mwenye bahati kumtazama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye...
9 Reactions
78 Replies
8K Views
Leo saa 10 jioni kunatarajiwa kuwa na game Kali Kati ya kagera sugar vs simba.simba imeshinda game 1 pekee Kati ya game 5 za mwisho waliokutana na kagera sugar na kagera kashinda game 4. Bad news...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom