Leo Simba kuvunja mwiko au kuendelea kuwa mateja wa Kagera Sugar?

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,577
18,901
Leo saa 10 jioni kunatarajiwa kuwa na game Kali Kati ya kagera sugar vs simba.simba imeshinda game 1 pekee Kati ya game 5 za mwisho waliokutana na kagera sugar na kagera kashinda game 4.

Bad news kwa Simba: watawakosa erasto nyoni,gadiel Michael na chama kwenye game ya leo.

Je Simba atatoboa Leo au ataendelea kugawa point kwa kagera sugar?
 
Yanga kashaitoa zesco? Achana na simba hangaika na yanga yako
 
Naamin leo Simba anashinda, kukosekana kwa Erasto Nyoni ni pengo kubwa sana ila hao wengine hawana shida.
 
Mechi ya kawaida mikia mnaitafutia kiki...washa tv jmosi mechi kubwa kuliko zote Afrika..wanaume wanavunja rekodi Ndola...
 
Leo saa 10 jioni kunatarajiwa kuwa na game Kali Kati ya kagera sugar vs simba.simba imeshinda game 1 pekee Kati ya game 5 za mwisho waliokutana na kagera sugar na kagera kashinda game 4.

Bad news kwa Simba: watawakosa erasto nyoni,gadiel Michael na chama kwenye game ya leo.

Je Simba atatoboa Leo au ataendelea kugawa point kwa kagera sugar?
piga hao mikia FC.
 
Wahindi Wanasema Leo Iko Kitu Mbili Tokea
Ama K*nd* Toboka, Ama Chanika Yote
😅😄😃😑😁😀
 
Back
Top Bottom