Haji Manara hiki kiburi cha kumjibu RC Kagera anakipata wapi?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Hayo majibu ya haji kwa Mkuu wa mkoa wa kagera haji manara anakipata wapi?
Angenyamaza angikosa nini
Hao mabosi wake mbona hawajasema kitu
Inaonyesha wanamheshimu RC
Screenshot_20190927-124343.jpeg
 
Mbona kama aliongea kishabiki tu, nilijua hakunaanisha kimamlaka!
 
Ndani ya Jeshi kuna Simba kibao ambao hawakuridhishwa na uamuzi wa yule Afande

Simba Ina ushawishi kuliko Jeshi japo Jeshi lina nguvu kuliko Simba
 
Back
Top Bottom