Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,015
- 16,145
Kama uzi unavyijieleza .... Kuna kaubishi hapa. Ila binafsi nakumbuka kama vile DTV ila kuna jamaa hapa anasema C2C mwingine ITV mwingine Channel ten. Karibuni
TVZ
televisheni zanzibar
kiupande wangu ilikuwa pia week end.TVZ sasahivi ZBC nakumbuka niliangalia EPL mwaka 1999 walikuwa wakionesha mechi moja tu kila wiki kwa siku ya Jumamosi ambapo nakumbuka nikiwa nimeshikilia kikombe cha Kahawa mkononi nikimshuhudia Chelsea akimpiga bingwa wa wakati huo goli 5 - 0.
Before 1999 sikuwa nikiifatilia TVZ, only nakumbuka EPL kupitia DTV
nimetazama epl mwaka 97 itvTVZ sasahivi ZBC nakumbuka niliangalia EPL mwaka 1999 walikuwa wakionesha mechi moja tu kila wiki kwa siku ya Jumamosi ambapo nakumbuka nikiwa nimeshikilia kikombe cha Kahawa mkononi nikimshuhudia Chelsea akimpiga bingwa wa wakati huo goli 5 - 0.
Before 1999 sikuwa nikiifatilia TVZ, only nakumbuka EPL kupitia DTV
yule mzee bna mambo yakeTV mmeanza kuangalia juzi tu..toka kitambo Zenji walikuwa wanaonyesha..mchonga alitunyosha sana
Mwaka 1996 au 1997 ITV na DTV nimeangalia EPL,na ITV walikua wanaonesha na Serie A pia enzi za akina Ravanelli,Baggio nkTVZ sasahivi ZBC nakumbuka niliangalia EPL mwaka 1999 walikuwa wakionesha mechi moja tu kila wiki kwa siku ya Jumamosi ambapo nakumbuka nikiwa nimeshikilia kikombe cha Kahawa mkononi nikimshuhudia Chelsea akimpiga bingwa wa wakati huo goli 5 - 0.
Before 1999 sikuwa nikiifatilia TVZ, only nakumbuka EPL kupitia DTV
kiupande wangu ilikuwa pia week end.
man utd 6 arsenal 2.
mwaka 2001
safari yangu ya kuipenda manchester united ilianzia hapo.
pengine ile mechi mshindi angelikuwa ni arsenal leo hii ningelikuwa mshabiki wa arsenal.
baadae ilitokezea jamaa fulani alikuwa na dishi nyumbani kwake, nyumba nyingi za jirani zikawa zinapata channel za soka.
mtaa nauhifadhi niliokuwa naishi
Daaah.TVZ sasahivi ZBC nakumbuka niliangalia EPL mwaka 1999 walikuwa wakionesha mechi moja tu kila wiki kwa siku ya Jumamosi ambapo nakumbuka nikiwa nimeshikilia kikombe cha Kahawa mkononi nikimshuhudia Chelsea akimpiga bingwa wa wakati huo goli 5 - 0.
Before 1999 sikuwa nikiifatilia TVZ, only nakumbuka EPL kupitia DTV
DTV 96.Kama uzi unavyijieleza .... Kuna kaubishi hapa. Ila binafsi nakumbuka kama vile DTV ila kuna jamaa hapa anasema C2C mwingine ITV mwingine Channel ten. Karibuni
Daaah.
Eti mwaka 1999.
Juzi tu hapo wakati nasoma minaki mwaka 1999 tulikuwa tunaangalia EPl shuleni.
Ila mwaka 1996 dtv walikuwa wanaonyesha
Aha.Mwaka 1999 nimezungumzia kuangalia TVZ tu hapo nawala sikuzungumzia kuanza kuangalia mpira