Jana nilicheki mechi ya Fluminense vs Al Hilal na Leo nikacheki mechi ya PSG vs Bayern Munich
Nilichokiona kwenye mechi hizo mbili kimeniambia kwa nini Ligi kama ya Saudi Arabia itaishia kuwa kama...
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa...
Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na...
Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake André Silva, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini...
Huyu muarabu anaonekana ni mshenzi sana yaani wachezaji wote wa Liverpool wamempost jota na wengine wengi wasio wa Liverpool wamepost jota ila huyu jamaa katulia kimya kama hayupo duniani mpaka...
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA (#FIFACWC) mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya...
A matter above is concerned,
Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida.
Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwafahamisha wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa kuanzia msimu ujao wa 2025/2026 litakuwa na mshirika (partner) wa michezo ya...
Klabu ya Fluminense ya Brazil imeweka historia kwa kuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...
Mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari huko Uhispania akiwa na umri wa miaka 28, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Ureno.
Inaripotiwa kuwa Jota...
Kwanzia sasa Hakuna mchezaji atakaevaa Jezi namba ishirini pale Liverpool, Jezi imestaafishwa kama heshima kwa Diogo Jota.
RIP Jota, na Ahsante Liverpool kwa kutambua mchango wake!
Habari waungwana,
Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao.
(Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP).
Kama mdau...
Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini Uhispania.Ibada...
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi kutoka Algeria ametambulishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka...
ANDIKO LA KWANZA LA AHMED ALLY KUHUSU SIMBA YA SASA..!!
.
Nianze na pole kwa Wana Simba kumaliza msimu bila ubingwa katika mashindano tuliyoshiriki hususan ligi kuu ya NBC
Wana Simba tuepuke...
Klabu ya Fluminense imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya kombe la Dunia la FIFA ngazi ya Klabu baada ya kuichapa Al Hilal mabao 2-1.
Mabao ya ushindi yalifungwa...
Kwa taarifa za kiinteligensia inasemekana Yanga Wana kikosi Cha Siri Cha propaganda ambacho huwalisha matangopori ya usajili Simba
How does it work???
Ni Kwamba kipindi Cha usajili macho ya...
@alexngereza._ anasema kuwa wanasimba mnapaswa kumuondoa Mo Dewji kwanza kuliko kupambana na Mangungu.
Katiba ya Simba iliipa bodi ya ligi mamlaka makubwa ya kuendesha timu ....bodi hyo ipo chini...
⚽ Timu zinazovaana:
🔵 Wasanii kigoma fc vs 🔴 Buhanda Stars
📍 Eneo: Buhanda Stadium – Kigoma
🗓 Tarehe: Jumapili, 6 Julai 2025
🕓 Muda: Saa 10:00 Jioni (4PM)
LENGO LA MECHI:
Hii si mechi ya...
Leo Lamine Yamal kavunja record Kwa Jersey mpya namba 10 yenye jina lake ya Barcelona msimu 2025/26 kabla jata kuzinduliwa na kununuliwa Kwa wingi.
Haijawahi kutokea kwenye historia ya mpira hata...