Mchezaji wa zamani aliyewahi kuzichezea timu za Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Ally Yusuph Tigana, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya...
Klabu ya Soka ya Chelsea imefanikiwa kupangua adhabu iliyokuwa imewekewa ya kutokusajili Wachezaji katika madirisha mawili ya usajili
Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo imetoa uamuzi kwa faida ya...
Dambe ndio Miereka yenye asili ya Afrika magharibi, lakini hivi karibuni imekuwa maarufu zaidi kutokana na kuwapo kwa video mbalimbali kutoka katika mtandao wa Youtube.
Mchezo huo unahusisha...
Nimeona tetesi za kocha Suleiman matola kuwa ndio anakuja kuwa mrithi wa Aussems,kiuhalisia kwangu sioni kama ni mtu sahihi kabisa,
Mimi sio hater wa matola bali ni mshabiki wake namba moja...
Kati ya hoja ambazo zinakuwa raised kuchallenge ubora wa The G.O.A.T Lionel Messi dhidi ya Cr7 na wengineo ni hii ya kucheza ligi moja ya Barcelona maisha yake yote ya soka.
Sasa leo naomba...
Ifike muda nadharia hizi tuzilete katika mazingira halisia
Unaposema Messi sio bora kwa kuwa amedumu katika ligi moja bila kutafuta challenge sehemu zingine
hivi ulishawahi kujiuliza ugumu wa...
Unapoona kitambaa cha Unahodha akilini mwako huwa anakujia mchezaji gani? Au ni kepteni gani ambaye huwa unamuona ni bora sana kwa muda wote?
Jinsi anavyohamasisha wenzake na anavyopambana kufia...
This man is boaring he brings jokes all the time
Every times comes with an excuse
I have watching Epl for more than 19 years sijawahi kuona kocha mpumbavu kama Huyu
He doesn't have gentleman...
Timu zote 20 za Ligi Kuu ya England, EPL, Novemba 30 mwaka huu zitaungana katika harakati za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na usagaji.
Katika kufanya hivyo, wachezaji wote...
Kwa miaka kadhaa sasa ifikipo saa tatu usiku nipo nyumbani nikisikiliza Sports Extra Ya Clouds FM ila kwa siku za karibuni nimeanza kupoteza ladha na kipindi hiki kutokana na mpangilio mbaya wa...
Hakika sikio la kufa halisikii dawa,
Tanzania bado ni kichwa cha mwendawazimu.Ukweli ulio wazo viwango vya Makocha wetu wazawa ni mdogo sana kwani January mpaka Desemba tupo nao hapa hapa...
Mpiga kabumbu wa timu za Paris Saint-Germain na Senegal, Idrissa Gueye amesema nyota wa Liverpool Sadio Mane alistahili kumaliza katika tatu bora kwenye tuzo za Ballon d'Or.
Kiungo huyo anaamini...
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars', Ettiene Ndayiragije amewaita wachezaji 32 kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika Uganda.
Mashindano...
Hizi ni miongoni mwa mechi zilitoa matokeo ya simanzi kwa timu pinzani.
Kila timu iliyoshinda mechi hizi ilipata mafanikio katika msimu huo, mfano Ujerumani iliitwanga Brazil na ikaenda kubeba...
Hivi atasemaje kuwa Rashid Matumla si Bondia chochote na lolote na kwamba hajawahi Kufanya Jambo Kubwa Tanzania wakati Kirekodi inajulikana kwamba Rashid Matumla ni Bondia mwenye Mafanikio Makubwa...
Siku mbili tatu kuliibuka mijadala mtandaoni kama Instagram FB Twitter na mitaani kuhusu kijana Mwakinyo kumwambia Matumla kuwa hana alipofika kutokana na kile alichokisema kama mchambuzi siku ya...