Messi vs Ronaldo: Nani mwenye wafuasi/washabiki wengi zaidi?

Maisha001

Member
Nov 13, 2019
77
42
Aisee naomba kuuliza,

Mwenye washabiki wengi ni Nani Kati ya Messi na Ronaldo?

Kama Una facts zenye uhakika hebu nisaidie hapa

images.jpeg
 
Ronaldo, ana washabiki kupitia club na timu yake ya taifa, Messi ana washabiki kupitia barcelona tu.
 
Kwa data za uhakika kutoka kwangu ni kuwa Messi anamashabiki wengi kuzidi Ronaldo ila kwa kuwa Ronaldo ni mtu wa kujibrand ndio maana anasikika sana lakin katika kukubalika Messi anakubaliwa hadi na mashabiki wa Real madrid, barca, Spain yote, America yote,70%ya Uropian na 80%Asia. Africa 65.

Sema Ronaldo anajiuza sura ila messi sio mtu wa kujiuza.Ila ukianza kufuatilia wapenda soka Messi ni levo nyingine. Ronaldo hana tofauti na akina Pirlo, Wanakubalika ila sio kiivyo
Ronaldo, ana washabiki kupitia club na timu yake ya taifa, Messi ana washabiki kupitia barcelona tu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Why tutafute takwimu za mbali wakati humu ndani twaweza, tuanze.

Mimi karata yangu natupa kwa MESSI.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa data za uhakika kutoka kwangu ni kuwa Messi anamashabiki wengi kuzidi Ronaldo ila kwa kuwa Ronaldo ni mtu wa kujibrand ndio maana anasikika sana lakin katika kukubalika Messi anakubaliwa hadi na mashabiki wa Real madrid,barca,Spain yote,America yote,70%ya Uropian na 80%Asia.Africa 65.

Sema Ronaldo anajiuza sura ila messi sio mtu wa kujiuza.Ila ukianza kufuatilia wapenda soka Messi ni levo nyingine.Ronaldo hana tofauti na akina Pirlo,Wanakubalika ila sio kiivyo

6163a96a-07fc-4c1f-8b5d-bd3b845dcdc7.jpg
 
Source ya takwimu mkuu? Maana nilipita maeneo ya usukumani nikakutana na jezi za Messi za kutosha nikajua jamaa anapendwa Sana kumbe kuliko Ronaldo. Kuja mtaani kwetu hapa mjini aisee jezi za Ronaldo tu,hapo ndo nikachanganyikiwa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Messi ni habari nyingine.

Ronaldo ni mzuri lakini alikuwa branded zaidi kwa ajili ya biashara na malengo yalitimia.
Kwa sasa wapo wengi tu wanaoweza kutoa challenge kwa Ronaldo huku wakitamani kulinganishwa na Messi.
Tofauti nyingine kubwa ya wawili hawa ni mmoja kupenda sifa yeye na wafuasi wake huku mwingine akiwaacha mashabiki wa soka watafakari kipaji chake.
 
kwani followers wa IG (INSTAGRAM) hamuoni jamani binadamu wa kwanza kuwa na watu wengi kuliko mwingine 130.. Followers sio mchezo mtu anapopulation kubwa mara 2 zaidi kushinda nchi yetu bado alafu bado unaleta debate tu.
 
wewe jamaa acha mahaba basi yahn madrid wamkubali mess kuliko ronaldo????

Pumbaavu!!!
Kwa data za uhakika kutoka kwangu ni kuwa Messi anamashabiki wengi kuzidi Ronaldo ila kwa kuwa Ronaldo ni mtu wa kujibrand ndio maana anasikika sana lakin katika kukubalika Messi anakubaliwa hadi na mashabiki wa Real madrid,barca,Spain yote,America yote,70%ya Uropian na 80%Asia.Africa 65.

Sema Ronaldo anajiuza sura ila messi sio mtu wa kujiuza.Ila ukianza kufuatilia wapenda soka Messi ni levo nyingine.Ronaldo hana tofauti na akina Pirlo,Wanakubalika ila sio kiivyo
 
Muulizaji ameuliza kuhusu mwenye mashabiki wengi na sio mwenye kipaji zaidi ya mwingine, mchezaji anaweza kuwa na kipaji kikubwa lakini asiwe na washabiki wengi, na mwingine anaweza kua na kipaji cha kawaida lakini akawa na washabiki wengi.
 
Kwa data za uhakika kutoka kwangu ni kuwa Messi anamashabiki wengi kuzidi Ronaldo ila kwa kuwa Ronaldo ni mtu wa kujibrand ndio maana anasikika sana lakin katika kukubalika Messi anakubaliwa hadi na mashabiki wa Real madrid,barca,Spain yote,America yote,70%ya Uropian na 80%Asia.Africa 65.
Sema Ronaldo anajiuza sura ila messi sio mtu wa kujiuza.Ila ukianza kufuatilia wapenda soka Messi ni levo nyingine.Ronaldo hana tofauti na akina Pirlo,Wanakubalika ila sio kiivyo
This is
 
Subiri mwaka kesho tukiwa hai ambapo hata kutajwa kwenye Ballon O dor jina la CR halitokea ndio utaelewa.
Naona maandishi ubaoni huyaon. kwamba CR kwishne. Yeye mwenyewe anajua ndio maana alisepa.
Wenzake wakati yeye anachukua mbona hawakusepa

Sasa sijui nyie mashabiki wake mtahamia wapi
 
Back
Top Bottom