Vipigo vilivoacha simanzi

Stopper3

JF-Expert Member
Sep 1, 2019
625
1,030
Hizi ni miongoni mwa mechi zilitoa matokeo ya simanzi kwa timu pinzani.

Kila timu iliyoshinda mechi hizi ilipata mafanikio katika msimu huo, mfano Ujerumani iliitwanga Brazil na ikaenda kubeba kombe la Dunia.

Simba 5 Yanga 0
Emmanuel Okwi aliwanyanyasa sana mabeki wa Yanga hasa Nsajigwa.

Manchester United 8 Arsenal 2
Hiki kipigo mzee Wenger hatakisahau milele, Wayne Rooney katika ubora wake alifunga alivotaka.

Machester United 1 Manchester 6
Ikiwa Old Traford chini ya SAF, Man Utd ilipokea kipigo cha mbwa koko huku David Silva na Edin Dzeko waliitesa vibaya ngome ya Mashetani wekundu.

Brazil 1 Germany 7
Miroslav Klose alifunga goli 1 na kumfanya kuwa mchezaji mwenye magoli mengi zaidi kwenye michuano ya Kombe la Dunia hadi sasa. Kipigo hiki kiliacha simanzi kubwa kwa wapenda soka wa Brazil, hakika usiku ule hawatausahau kamwe.

Barcelona 5 Real Madrid 0
Huku Messi kule C.Ronaldo
Achana na hao, kuna mtu alikua anaitwa Xavi Hernandez, kiungo mahiri kuwahi kumshuhudia akisakata kabumbu, aliwatesa vibaya Madrid pale kati, yaani alichafua dimba na mwenzi Andres Iniesta

Ni Big Mechi ipi wewe unaikumbuka?
images%20(6).jpeg
images%20(5).jpeg
download.jpeg
images%20(1).jpeg
IMG_20191202_223250_694.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20191202_222050_332.JPG
    IMG_20191202_222050_332.JPG
    17.1 KB · Views: 1
Liverpool FC 4 - 0 Barcelona FC,
Ilikuwa Anfield Stadium 2019.

Na ile wabongo chini ya Charles B Mkwasa walipigwa 7 kule Algeria.
Ahaahah ile ya Mkwasa ile kawaida, Tz lini iliwahi kuwa nzuri?
 
Liverpool FC 4 - 0 Barcelona FC,
Ilikuwa Anfield Stadium 2019.

Na ile wabongo chini ya Charles B Mkwasa walipigwa 7 kule Algeria.
Liva 4 Barca 0.. ile kona ilivochezwa Barca hawakuamini
 
Barcelona 5 Real Madrid 0
Huku Messi kule C.Ronaldo
Achana na hao, kuna mtu alikua anaitwa Xavi Hernandez, kiungo mahiri kuwahi kumshuhudia akisakata kabumbu, aliwatesa vibaya Madrid pale kati, yaani alichafua dimba na mwenzi Andres Iniesta
Ni Big Mechi ipi wewe unaikumbuka?
mkuu hujamtamka vizuri Xavi Hernandez hebu rudia mpa sifa yake!. Yule mbwa alikuwa anaiunga timu sijapata ona!.

UEFA Final Arsenal vs Barcelona.
Messi anatunyanyasa kama wake zake, mpaka nikaanza mpenda yule mbilikimo!.
 
mkuu hujamtamka vizuri Xavi Hernandez hebu rudia mpa sifa yake!. Yule mbwa alikuwa anaiunga sijapata ona!.

UEFA Final Arsenal vs Barcelona.
Messi anatunyanyasa kama wake zake, mpaka nikaanza mpenda yule mbilikimo!.
XAVI yule jamaa alikua anapiga pasi hadi anakera, pasi karibia 200+ peke yake
 
mkuu hujamtamka vizuri Xavi Hernandez hebu rudia mpa sifa yake!. Yule mbwa alikuwa anaiunga sijapata ona!.

UEFA Final Arsenal vs Barcelona.
Messi anatunyanyasa kama wake zake, mpaka nikaanza mpenda yule mbilikimo!.
Ahahah 2004 hiyo sio? Wenger kavaa bonge la buga!
 
Liva 4 Barca 0.. ile kona ilivochezwa Barca hawakuamini
Mchezaji wa Brighton & Hove kawalipia Barca kwa Liverpool sema yeye kwenye faulo sio kona.
Mtangazaji anasema "Barca were caught napping, It was so chicky!"
Na wa juzi mechi ya Brighton karudia hivyo hivyo "Liverpool were caught napping, so chicky!"
 
Mchezaji wa Brighton & Hove kawalipia Barca kwa Liverpool sema yeye kwenye faulo sio kona.
Mtangazaji anasema "Barca was caught napping, It was so chicky!"
Na wa juzi mechi ya Brighton karudia hivyo hivyo "Liverpool were caught napping, so chicky!"
Ahahahaa, malipo yote ni hapa hapa duniani
 
mkuu hujamtamka vizuri Xavi Hernandez hebu rudia mpa sifa yake!. Yule mbwa alikuwa anaiunga sijapata ona!.

UEFA Final Arsenal vs Barcelona.
Messi anatunyanyasa kama wake zake, mpaka nikaanza mpenda yule mbilikimo!.
Babu Ferguson nae alitafuna buble gum zikaisha, akaanza kutetemeka kwenye bench.

Kile kikosi cha Barca hakina mfano aisee.
 
Ahahahaa, malipo yote ni hapa hapa duniani
Daah we acha tu.
Nina clip ya ile mechi huwa nairudia mara kibao ndani ya mwezi mmoja siichoki.
na-rewind na ku-replay pale pale anaposema
"Barca were caught napping, It was so chicky,
The most experience players in the world were switched off,
Every body in the pitch were switched off except Trent Alexander Arnold and Divock Origi,
So chicky, so offensive"

Anaendelea ....
"Look at Divock Origi, It's like slow motion, so well taken!"
 
Na Peter Drury naye anakuaga na vimisemo kwenye EPL, namkubali sana.
 
Simba 4 Yanga 1 mwaka 1994,nilikuwa Mdogo iliniumiza sana.

Man United 1 Man City 6 asee niliwaonea huruma wachezaji wangu
 
1977.
Ilikuwa siku chungu isiyosaulika kwa golkipa Benard Madale na mabeki wake.
Rekodi ya Hat trick ya Abdallah King Kibadeni kwa watani wa jadi ilipatikana hapo
FB_IMG_1563549763996.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom