Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakati anaingia kuchukua nafasi ya Jonas Mkude Kili Stars ilikua imezidiwa kabsa eneoa lote la kiungo. Mzamiru alikua kapotea vibaya. Mkude alikua hoi kachoka hali iliyopelekea kufanya faulo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu kwa habari za kunyapianyapia zinasema yule fundi wa mpira kutokea kwa kagame Haruna Niyonzima aka Fabregas anatarajiwa kujiunga na timu ya Yanga kwa mara nyingine tena ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kuangalia mechi ya kwanza ya timu ya Kill Stars iliyochini ya Mgunda kama head coach namna ilivyo disorganized na inacheza bila mipango yoyote, MO amekuja na ahadi ambayo anajua kabisa...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Tuzo ya Ballon d'Or ya 2019 inatarajiwa kutolewa leo Desemba 2, 2019, huko Theatre du Chatelet, Paris. Sherehe rasmi itaanza saa 19:30 GMT (1:00am, Desemba 3, IST). Luka Modric alishinda tuzo ya...
8 Reactions
307 Replies
29K Views
Ilikuwa ni Eritrea na Kenya, msikilize mtangazaji mahiri ambaye simjui jina alichokisema
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa huruma kubwa sana naiomba TFF kuizuia timu ya Yanga kusajili wachezaji wapya ili kuipunguzia mzigo wa madeni , iendelee na wachezaji ilionao ili iweze kupunguza madeni. Nawaasa wachezaji wa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Kurudia ruksa. 1)Manchester city kubeba ligi ya Uingereza,FA, na kutinga fainali ya uefa 2)liverpool 90+ points bila kutwaa ligi. 3)United kushushwa daraja
3 Reactions
62 Replies
5K Views
duuh mechi za leo zimechanika ******* yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
49 Replies
8K Views
Wadau hili suala huwa linanitatanisha sana! Hivi inakuwaje Zanzibar inashiriki mashindano ya Vilabu ya CAF ilihali sio mwanachama, na ndiyo linapokuja suala la Timu ya Taifa inayotambuliwa ni ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Barcelona itatwaa ubingwa wa uefa Champion league Itacheza fainali na PSG Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Maafisa wa Klabu ya Arsenal wanadaiwa kuwa kwenye mazungumzo na wenzao wa Manchester City kuangalia uwezekano wa kumpata Mikel Arteta kama mrithi wa Unai Emery Mapema leo, Maafisa hao wa Arsenal...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya vitu hata uwe umzalendo kiasi gani,ila facts zikigoma ujue hamna nanma. Kwa kili Stars mbele ya Uganda Facts zinagoma kila idara. Wachezaji wetu hawafungi,hawamiliki mpira,hawana...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi ni shabiki kindakindaki na mwanachama aliyetukuka wa Simba Sports Club. Nikiwa kama shabiki na mwanachama wa Club yetu pendwa ningependa kuwa wakala wa kuuza jezi na kugawa kadi mpya za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ndio Yanga mpya, Wachezaji wa kigeni wanaokipiga katika club ya Yanga wameshtushwa na utaratibu wa ajabu wa klabu hiyo. Tarehe 16 mwezi huu mishahara ya wachezaji hao iliingia huku pamoja na...
7 Reactions
36 Replies
8K Views
LEICESTER City wamekuwa kwenye kiwango bora kweli kweli msimu huu na kuwa wapinzani wapya wa Liverpool kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England. Straika, Jamie Vardy yupo kwenye kiwango bora...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi timu yetu,SI inacheza Leo huko Kampala ,mbona kimyaaa!
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Samoa na Australia wamepokea kichapo cha mbwa kutoka Kenya
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii timu inabidi isajili watu wa maana kabisa ikizingatiwa tayari wameruhusiwa kusajili, Lampard hadi sasa alichofaulu ni kuwainua vijana wa uingereza na kuwapa nafasi pia kupiga pasi nyingi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
-Mjumbe wa Baraza la wazee wa klabu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amemshangaa Mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa klabu ya Yanga, George Mkuchika kwa kukiuka katiba ya klabu ya Yanga kuhusu...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Mzee akilimali amezidi kusema kuikodisha Yanga kwa mtu binafsi haifai kwa kuwa Yanga ni taasisi ya watu wengi amesema, pia mkutano wa Yanga ni mkutano wa kihuni kwa kuwa kila kitakachosemwa na...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom