Hii ahadi ya Mo Dewji ni kichekesho tu maana anajua kabisa Kilimanjaro Stars hawana uwezo wa kuleta ubingwa wa CECAFA

Chukwuemeka Takpo

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
13,202
2,000
Baada ya kuangalia mechi ya kwanza ya timu ya Kill Stars iliyochini ya Mgunda kama head coach namna ilivyo disorganized na inacheza bila mipango yoyote, MO amekuja na ahadi ambayo anajua kabisa hii timu haiwezekani ikafanikiwa na kuleta kombe la CECAFA.

Najiuliza tu kwa nini aseme saizi baada ya kuona mechi ya kwanza wakipigwa 1-0 na Kenya? Why hakuahidi kabla ya mechi zote kuanza? Kesho tunacheza na Wazenji ambao mara nyingi huwa wanakamia sana na hutufunga.

Kwa namna ile timu inavyocheza kwa wazenji lolote linaweza kutoka, tukipambana sana Tanganyika tunaweza pata sare.

MO anajua anachofanya, timu yetu bado sana.
Screenshot_20191210-011305.png
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,306
2,000
Sidhani kama kuna shida, Mo yupo Uganda kwa shughuli zake na kuamua kwenda kuwatia hamasa wachezaji ambao nao wapo Uganda kwenye mashindano
 
WAKO WAPI WATU WAKO

JF-Expert Member
Sep 26, 2017
1,615
2,000
Baada ya kuangalia mechi ya kwanza ya timu ya Kill Stars iliyochini ya Mgunda kama head coach namna ilivyo disorganized na inacheza bila mipango yoyote, MO amekuja na ahadi ambayo anajua kabisa hii timu haiwezekani ikafanikiwa na kuleta kombe la CECAFA.

Najiuliza tu kwa nini aseme saizi baada ya kuona mechi ya kwanza wakipigwa 1-0 na Kenya? Why hakuahidi kabla ya mechi zote kuanza? Kesho tunacheza na Wazenji ambao mara nyingi huwa wanakamia sana na hutufunga.

Kwa namna ile timu inavyocheza kwa wazenji lolote linaweza kutoka, tukipambana sana Tanganyika tunaweza pata sare.

MO anajua anachofanya, timu yetu bado sana.
View attachment 1287292
Mo anadhani watu wote ni mbumbumbu kama Simba...

Apeleke upuuzi wake Bunju...
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,206
2,000
May next year huyo mwamba anaingia tena sio peke yake na wenzie wawili jumla watakua 3 kama sheria ya serikali inavyosema
Hiyo sheria ya serikali ilitungwa wapi na kina nani waliipitisha?
Simba katiba yetu ndio inaelekeza wawekezaji wawe watatu ama katiba ya Simba siku hizi vyura mnaiona ni ya serikali?
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,206
2,000
Mgagaa na Upwa
Uwe una Quote vizuri
Nimeuliza swali hili swali hujalijibu
Hiyo sheria ya serikali ilitungwa wapi na kina nani waliipitisha?
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,832
2,000
kwa mujibu wa sheria za kodi/TRA, zawadi au mapato yeyote ya ziada yanapaswa kukatwa kodi, je hizo motisha zitakatwa kodi kama wafanyakazi/au washindi wa kubeti wanavyokatwa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom