Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

TRANSFER NEWS LIVE[emoji599]Budo Mutale is here to stay[emoji419] Niko hapa kuthibitisha kwamba Simba wataendelea kubaki na Budo Mutale msimu ujao. Baada ya kuwaka mwishoni mwa msimu Simba...
1 Reactions
12 Replies
717 Views
Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam. Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi Diamond sio mjinga...
51 Reactions
276 Replies
13K Views
Mashabiki wa mpira waislamu wameonywa na kutahadharishwa kwenye mitandao ya kijamii kutuma ujumbe wa maandishi R.I.P Diogo Jota kwani ni dhambi na kinyume na mafundisho ya kiislam kwasababu Diogo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa. Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa Simba lazima nikiri wazi. Kwq namna taarifa zinavyokuja kama tetesi,sizitofautishi sana na zile za mwaka jana. Mashabiki wengi wa Simba hawakuwa wanaamini kwamba Chama...
9 Reactions
11 Replies
973 Views
Juzi palikuwa na msiba wa mzee Ally Pazi Samatta,,media zote zilitoka na kumuaddress kama baba mzazi wa Mbwana Samatta it's true but hamna anaekumbuka kuwa mzee Samatta ni gwiji mstaafu wa soka la...
4 Reactions
8 Replies
508 Views
Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Waliandaa mpka tishert za ubingwa lakini ikawa tofauti... hivyo kontena nzima ya hizo tishert hazivaliki
7 Reactions
12 Replies
835 Views
Mchango wa wachambuzi usibezwe katika kuisukuma Yanga kuendelea kufanya vizuri viwanjani. Kuna wachambuzi ambao wanatafuta na kuyasema mapungufu tu ya Yanga kila siku na kila wakati wanapopata...
2 Reactions
6 Replies
750 Views
SportsPesa ametoa bonus ya Tsh. 262 million kwa Yanga kufanya vizuri kwenye msimu. Je, kiasi hiki cha bonus kinafanana na mafanikio ya Yanga? Yanga iendelee na mdhamini huyu?
2 Reactions
13 Replies
715 Views
21 June 2025 Dar es Salaam, Tanzania TWIGA STARS YATWAA KOMBE LA MICHUANO YA CECAFA FULL MATCH FINAL CECAFA 2025 KENYA VS TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=0D7FA4xY-K4 Hivyo michuano ya...
1 Reactions
12 Replies
891 Views
Ligi Kuu Tanzania, Vodacom Premier League (VPL) kuendelea kupigwa leo March 15, 2020 ambapo wenyeji wa mchezo Namungo FC wanapepetana na Yanga SC, kwenye uwanja wa Majaliwa, (Majaliwa Stadium)...
10 Reactions
183 Replies
20K Views
M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika...
18 Reactions
46 Replies
5K Views
DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake. Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi. DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Timu ya Yanga Sasa imekuwa ni daraja la makocha + wachezaji kwenda mambele wakiachwa na Yanga Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Kennedy Musonda amejiunga na klabu ya Hapoel Ramat Gan...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
2 Reactions
5 Replies
967 Views
Tuzifahamu baadhi ya makampuni yanayomiliki timu zaidi ya moja duniani 1) The City Football club (CFG) Hawa jamaa wanamiliki timu 13 ambazo ni Man city ( Eng) New York City fc (USA) -Melbourne...
12 Reactions
59 Replies
4K Views
Tatizo kubwa la kwanza simba lina fichwa na tajiri mo kwa kukubaliana na hao wazee kula 50 kwa 50 sababu yeye angekua mhanga asingekubali kuwa simba mpaka sasa amin hakna mapenzi ya hasara hata...
1 Reactions
2 Replies
570 Views
Golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars zamani Simba Sc Amejiunga na timu yake ya Zamani Azam FC Kwa mkataba wa miaka 3, Aisha anaondoka Simba baada ya kukosa namba mbele ya Spider man...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…