Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Serikali imesema itaendelea kuwabana wafanyakazi na wachezaji wote ili walipe kodi stahiki na Serikali iweze kupata mapato yake. Akijibu swali la Mbunge Bungeni leo Januari 4, 2020 Naibu Waziri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni ya GSM imepanga kuiendesha Klabu ya Yanga kisasa kwa kuleta Mtendaji Mkuu (C.E.O), mpya wa timu hiyo atakayeifanya kuwa ya kisasa ili kufikia mafanikio yao. GSM ni kati ya wadhamini wa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
[emoji1621] Machache toka OT ( Manchester United V Wolves ) [emoji736] Fred ni mdhaifu sana katika ukabaji kuna wakati mipira ambayo yeye alipaswa kuizuia tangu juu alikuwa anafeli na kufanya...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samatta angalia usije kuwa kama Emmanuel Eboue na wengine kama yeye. Tumeona kilichompata aliyekuwa mchezaji mahili wa washika bunduki wa London mchezaji Emmanuel Eboue. Mafanikio aliyoyapata...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Sisi wadau hatuongei sana na hatukufundishi ila utakuwa ushaelewa kinachoendelea hapo Mbele....hivi ana matatizo gani huyu kijana wako Glealish? Sasa kaa na kijana wako umwambie kabisa kwamba...
9 Reactions
64 Replies
6K Views
Wapenzi wa ngumi kuna mtu bado anamkumbuka Razor Ruddock? Miaka ya mwisho ya 80 na mwanzo mwa miaka ya 90. Alipigana na Tyson mapambano 2 ingawa yote Mike alishinda. Pambano la marudiano na...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo February 1, 2020 kusaka alama tatu muhimu, ambapo Vinara wa Ligi Wekundu wa Msimbazi, Mnyama Mkali...
5 Reactions
104 Replies
12K Views
PETER DRURY NA KINYWA KILICHOTAKASA BURUDANI YA SOKA Utamu wa Drury chumbani kwa David Cameroon. Ukifika viunga vya St John's School katika utawala wa mama mpendwa Malikia wetu Elizabeth ndani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Michuano mikubwa ya Tennis kwa upande wa Gland Slam imeanza kutimua vumbi hii leo huko Australia katika jiji la Melbourne. Michuano hiyo mikubwa inatarajiwa kufika ukomo hapo tarehe 2 ya mwezi wa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Mzuqa wanajamvi! Kuna wasiwasi wa Liver kutokutwaa ubingwa wa EPL kutokana na homa ya mafua Coronavirus kuingia Uingereza na kuthibitika leo watu wanne wanayo huko Scotland baada ya kutoka nayo...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Mchezaji mwenzako wa Orlando Pirates amefedheeka sana kwa kuiga stail yake wakati mkicheza timu moja huko South. Kumbe wakati wewe kakuweka Benchi ulikuwa na kazi ya kukopi haki zake za kucheza...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Nakumbuka kwamba Timu ya Kimbangulile FC ya Mbagala ndiyo iliyomlea Mbwana Samatta hadi kufikia kuonwa na vilabu vikubwa , na kuna wakati iliambulia mgawo kwenye mauzo ya Mbwana , sina kumbukumbu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Liverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..! Gundu...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanahabari mkongwe na mjumbe wa usimamizi na uwendeshwaji wa ligi bwana Baruani Muhuza ameamua kujiuzulu siku ya leo baada ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo yanayoendea ndani ya bodi hiyo.
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni maji kiasi gani yanaweza kufanya mechi iahirishwe? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simba ya msimu uliyopita ndo ilikuwa yenye ubora na sio hii ya sasa.Kuna mambo yaliyochangia Simba hii isiwe na ubora USAJILI Baada ya Simba kufanikiwa kuingia robo fainal kwenye CAF...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
YANGA, MWEZI 1 MECHI 9 **RATIBA YA YANGA FEBRUARY** 1) 02/02/2020 Yanga SC vs Mtibwa Sugar-National Stadium 1600hrs; 2) 05/02/2020 Yanga SC vs Lipuli FC- National Stadium 1600 hrs; 3)...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…