Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mambo 10 nilioyaona Simba vs JKT Na: Ally Kamwe 1: Abdallah Mohammed Baresi[emoji122] Ushindi wa JKT ulianza kwenye kitabu chake cha ufundi. Ile 4-2-2-2 iliimeza kabisa 4-2-1-3 ya Sven. Kipindi...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Haya mambo yameanza kufumuka baada ya kichapo cha jana
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya Simba kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi mwaka jana ambapo Patrick Aussems alitemwa, Dennis Kitambi aliyekua Kocha Msaidizi sikusikia hatma yake. Je, anafanyia wapi kwa sasa kazi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kumaliza ubishi Forward bora duniani kutokea pembeni namba moja Messi namba mbili Neymar See attachment as ref Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Ni nani alimleta mzungu? Mbona anaonekana hana uwezo? Je, wachezaji si watawagawa iwapo hawaelewani? Je, uongozi wa Simba mbona mpo kimya? Hii tabia ya kuleta watu bila kujua tamaduni zao...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tanzahost.dramatz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
730 Views
KINGO SR KAMWENE... Ukipitia historia utakumbuka kuwa waholanzi walianza kutawala vichwa vya habari tangu Karne ya 14 huko katika masuala mbalimbali..tangu enzi za akina Jan van Riebeck katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ameshinda tuzo ya kocha bora wa EPL wa mwezi Januari na kuweka historia ya kushinda tuzo hiyo mara nyingi ndani ya msimu mmoja. Ameshinda mara tano. ===== Jürgen...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawahakikishieni kombe linaenda mikoani....hizi simba na yanga zinapambwa na vyombo vya habari ila kihalisia uwanjan hamna kitu.... Huu ndiyo ukweli... Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mpira ni dakika tisini. Ndivyo ilivyotokea leo. Poleni sana. Mpira wenu kwa kweli umerudi nyuma sana siyo kama wakati wa Patrick ausemms. Mjitafakari muone kuna tatizo wapi. Lile boli la kutandaza...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Klabu ya Simba ya Tanzania imethibitisha kumsajili winga Luis Jose Miquisone kutoka kutoka klabu ya UD Songo ya Mozambique ambayo ndiyo bingwa mtetezi wa ligi kuu ya nchi hiyo. Kiungo huyo tayari...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
Naomba mnifahamishe hivi mchezaji anapoingia kwenye maji ya barafu humsaidia kitu gani hasa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ukiangalia vizuri tatizo hili ni kwa karbu kwa refarees wote wa TPL kutoa maamuzi yaliyo tata utadhani hawajui sheria; hivyo TFF kuna kitu wanatuficha wadau wa soka aidha kuna maagizo hivyo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna malalmiko mengi yanatolewa na timu kuhusu vyumba kupuliziwa dawa. wachezaji wasipoingia TFF mnakuja na adhabu pasipo kuchunguza kimsingi hii si haki na si sehemu ya kutatua tatizo msingoje...
1 Reactions
1 Replies
857 Views
Wakuu habari zenu? Wakuu nilikuwa nataka niwashauri na wewe pia toa ushauri wako nini kifanyike ili marefa wetu wa ligi yetu pendwa ya bongo wawe wanatoa uamuzi sahihi na wa ukweli kama ilivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vilabu vya kama Man United,Juventus ,Man city, Inter Millan,PSG zinasaka saini ya Messi. Kwenye chapisho la gazeti inayoita La Gazzete Lionel Messi amekaririwa akisema anataka kwenda kwenye...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Wakuu naomba kuuliza. Hivi TFF hawaoni madudu yanayoendelea katika League ya Mpira wa Miguu Tanzania? Timu zinapewa ushindi kwa makosa ya wazi. Wachezaji kuwa offside. Muda wa nyongeza kuzidishwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Oya wazee vp kijana wetu happygod huko benfica.. Sababu kila kukicha ni samatta tu... Tupeni updates za role model wetu anayekiwasha sana stars.
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Jezi ya nyumbani ya Aston Villa kwa UK inauzwa kwa paundi 55. Kumbuka paundi moja ni shilingi 3013.67. 55*3013.67=165715 Halafu hapa mnatuuzia jezi Tsh 30000 na kutuambia original. Bongo...
3 Reactions
47 Replies
9K Views
Mechi zote zina makosa mengi ya namna hiyo.Kuna wengine wamenyimwa kufunga kwa kupigiwa kipenga cha offside wakati ukweli hawakuwa wamezidi. Na inakuwaje kuwa mwamuzi anaona mpira umetoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom