Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari. Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba: Leg 1. 27 April 2021 Tuesday Paris Saint Germain Vs Manchester City Real Madrid Vs Chelsea Leg 2. 04...
7 Reactions
442 Replies
34K Views
I will be short Mzize zamalek deal. Madalali wamekuwa wengi kama board Yamakolo (Simba sc ) The deal has been stalled , due to large number of unknown agents , with zamalek unaware who to...
2 Reactions
3 Replies
606 Views
Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana...
14 Reactions
50 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Pitia takwimu mpya hapo chini: Wachezaji (17) walioondoka Simba 24 | 25 ◉ Aishi Manula (Loan) ›› Azam FC ◉ Feruz (Loan) ◉ David Kameta 'Duchu' (Loan) ◉ Clatous Chama ››...
11 Reactions
44 Replies
16K Views
Mohammed Dewji, mwekezaji mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, amesema klabu haijapotea na iko kwenye mchakato wa kujijenga upya. Katika ujumbe kwa mashabiki, Dewji amesema huu si wakati wa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
1. Wachezaji Chamou Karobue, Che Malone, Fabrice Ngoma, Valentine Nouma, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Jean Charles Ahoua, Augustine Okajepha wakiendelea kuwepo ndani ya kikosi. 2. Kocha Fahdu...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Timu nzuri inajengwa na kocha sio wingi wa mastaa, kocha ndio anajua taaluma yake inahitaji wachezaji wa aina gani, PSG iliwahi kujaza mastaa kibao na haikuwahi kufanya vizuri kama PSG hii yenye...
5 Reactions
8 Replies
759 Views
Mo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara. Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM; kunywa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Katika maazimisho ya miaka 50 ya Askofu Isack Amani wa Arusha na kuimarisha umoja baina ya watumishi wa Mungu , kulichezwa mechi muunganiko wa wachungaji vs mapadri wa Arusha . Kiukweli...
13 Reactions
56 Replies
2K Views
Kwanza mpaka sasa Yanga ndo wanaongoza ligi. Wasiwasi wa nini?. Kwa timu ya Yanga ilivyo sasa hivi kamwe hawawezi kufungwa na Simba iwe jua au mvua. Ninajua Bodi ya Ligi mpaka sasa hawajatoa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
TATIZO LILILOJIFICHA KWENYE KIVULI CHA MWEKEZAJI WA SIMBA. Lakini ni Moja ya Tatizo kubwa sana Pale Simba,Muda mwingi yupo upande wa Mwekezaji,Wanapokezana vijiti na bosi wake Wachezaji Wengi...
1 Reactions
7 Replies
555 Views
Inasemekana yanga wamemsajili kiungo namba sita wa CS SFAXIEN ya Tunisia mchezaji huyu alicheza vizuri sana kwenye mechi za makundi za kombe la confederation Simba ndo walikuwa ndo wakwanza...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
I have seen trending videos Of Simba fans with fan engagement chairman about Mangungu situation in Simba sc . Here is my say : Mangungu Ana makosa gani ?? Mpira achezi yeye ?? Wachezaji...
2 Reactions
17 Replies
672 Views
Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa.. Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa... Pale CAF zile ranking zinaeleweka ? Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.? 1. Al...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Watu Wengi Wanafatilia Mpira na Kuijua Club Ya As Monaco ambayo Hivi Karibuni Imemsajili Ansu Fati Na Kiungo Paul Labile Pogba. Lakini Hawajui Kuwa Monaco 🇲🇨 ni Nchi ambayo inaongozwa Kifalme ...
5 Reactions
13 Replies
759 Views
Salute kwenu Wana Lunyasi! Niende kwenye Mada, Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni. Kipindi...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Wale wakongwe katika mchezo wa soka la Bongo, tukumbushane majina ya wachezaji waliopo katika kikosi hiki cha Yanga. Picha nimeitoa Mtandaoni tu sio yangu.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…