Tafadhali sana yeyote mwenye access ya kumpata mzee Mangungu amfikishie hii habari.
Mangungu wewe ni shujaa wetu unaipenda Simba kuliko Mo Dewj. Tafadhali tusajilie wachezaji bora achana na...
Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu...
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.
Tupia utabiri wako hapa.
Utabiri wangu.
Chelsea 0 vs Man City 3
Either Players to...
Kurusha mawe kwa Mangungu ni kupoteza muda tu, hata ikitokea kajiuzulu Mambo yatakua hivyo hivyo tu.
Mangungu anatumika ana watu nyuma ya Pazia Hana sauti na Hana uwezo wowote wa kupambana na...
Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza.
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5...
Wakati wa kusajiri wachezaji umefika, ni sasa. Kama yupo mfadhili, kiongozi, mwanachama, shabiki, mchambuzi, mwamuzi, mchungaji, sheikh au mganga wa jadi anataka kuisadia timu yake kupata matokeo...
Mangungu sio kwamba tunamchukia ama tunamtakia mabaya, hapana, mm namuombea kwa mungu jina lake lirudi vzr huko Dodoma apeperushe benders ya chama kule jimboni Kilwa Kaskazini awe mbunge...
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini...
Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23).
Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni...
Habari za wakati huu wakuu..Hopeful mko poa,,Mimi in shabiki mkubwa sana na mchezaji pia wa mpira wa Kikapu..Karibuni kwenye Uzi huu mahususi kabisa kwa Mpira wa kikapu kwaajili ya kupeana...
"Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara.
Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha...
Yanga inatosha jamani mtatuua haiwezekani Kila mchezaji tukitia maguu nyie mnapita nae, Yanga wanachotufanyia ni unyama unyamani wanatunyoosha
Huyu ni mchezaji wa nne wanapita nae na ndio maana...
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi TFF Wakili Kiomoni Kibamba akizungumza n kuhusu malalamiko dhidi yake kwenye mchakato wa uchaguzi TFF. amesema mawakili wote walimdhalilisha atawapeleka mahakamani...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili...
Ile slogan ya nguvu Moja naiona kabisa kuwa haiakisi uhalisia wa timu ya Makolo. Timu inagawanyika kirahisi sana ....Kila mtu yupo tayari kuitisha press conference kuzungumzia...
Wakuu kama mnavyojua kiongozi Bora lazima awe na msimamo usiotetereka hasa taasisi yake inapopitia changamoto yeyote.
Mangungu toka Mwaka 2023 amekuwa akisakamwa kila Kona na wanasimba...
Yanga sports club pamoja na kutwaa ubingwa wa 2024/25 lakini still club inakosa pesa ya kufanya usajili. Pamoja na kunywesha watu supu za ngamia na chapati na hamna ela niuzwazwa wa hali ya juu...