Mo Dewji aweka wazi sababu za CEO Senzo kukimbia

Moo ni shabiki wa simba ukiacha uwekezaji wake hapo simba.
nani anayeweza kutoa hela zake kuijenga timu?.
kipi anacho pata moo pale simba?.
Moo anajitahidi sanaaa kuiendesha simba angekuwa mwingine angeshindwa.
Mudi mjanjamjanja alikua boss Singida united akachemsha, akawa boss African lion akachemsha kwa sasa yupo umbumbuni napo atachemsha. Ni mudi uyu uyu hajabadilika ni swala la muda tu kabla ajaondoka na baadae kurudi na timu nyingine.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Moo ni shabiki wa simba ukiacha uwekezaji wake hapo simba.
nani anayeweza kutoa hela zake kuijenga timu?.
kipi anacho pata moo pale simba?.
Moo anajitahidi sanaaa kuiendesha simba angekuwa mwingine angeshindwa.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Moo hakuna anachotegemea kupata kwa Simba?

1) Kuna muwekezaji gani anayefanya uwekezaji halafu mwisho wa siku asitegemee kupata mafanikio ya uwekezaji wake?

2) Pesa iliyoingiza timu ya Simba kwa kufika hatua ya robo fainali CAF msimu wa 2018/2019 zipo kwenye account ipi? Na je zimetumika kiasi gani, kwa kufanyia kitu gani? Na je ibakia kiasi gani?

3) Je hesabu ya mapato na matumizi ya timu ya Simba ni nani anayehusika kusimamia?
 
Ebu niambie moo anapata nini pale simba?

Anapata HASARA tuu, gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko faida. Anatoa pesa kwa mapenzi yake kama shabiki na sio mwekezaji.
Ukisema anapata hasara basi uje na hesabu iliyokamika. Nipe hesabu aliyotumia sh ngapi kuendesha timu na kiasi kilichopatikana kutoka kwenye vyanzo mbali mbali (viingilio vya mechi+ jezi+ n.k ni sh ngapi? Isitumike bashiri kuwa anapata hasara au faida wakati siri ya account anajua yeye mwenyewe mwendeshaji wa timu.
 
Back
Top Bottom