Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hii duo ilikua on fire sana wanapotangaza mpira, yaani walikuwa wanaiva saana. Baada ya Enock kutangaza nia ya kugombea Ubunge huko Mbozi, mara akapata ajali ila akatoka mzima akaendelea na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa hii nimeipata kwenye moja ya magazeti hapa nchini
3 Reactions
67 Replies
8K Views
English Premier League has a long history. Some of clubs of the League is even older than League itself. Each club has their own culture, where their nickname come from. Let's talk about some...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
! ! Samahani sana humu jukwaa la michezo hasa kama kuna post inayofanana na hii, ni vile natumia mchina na siwezi kusearch ila imebidi niulize tu. Hivii huu mchezo wa cricket unachezwajechezwaje...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa. 2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena...
33 Reactions
95 Replies
10K Views
Aliandika kua yeye anazifahamu Simba na Yanga kwa zaidi ya miongo kadhaa, akajisahau kwamba mambo yanabadilika.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
KHERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI . Haikua bahati tu , bali ni neema ya siku ya jumapili ya tarehe 5 ya September 1993 kwenye uzao wako mtukufu , haikua baraka ya jiji la Bujumbura tu , bali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots? Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5. Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana. Ifike mahali ukweli usemwe
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende! Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka! Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo...
9 Reactions
67 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu Simba ina wachezaji 11 wa Kigeni baada ya ingizo la Chikwende, Je watalazimika kupunguza mmoja? Au wameshapunguza? Wawa Onyango Chama Bwalya Luis Kahata Kagere...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Yanga imeibuka na ushindi huo baada kuifunga Simba SC kwa mikwaju ya Penati. Yanga SC walifanikiwa kufunga mikwaju 4 kwa 3 ya Simba Sc Mchezo huo ulifikia hatua ya matuta Baada ya Dakika 90...
6 Reactions
116 Replies
14K Views
Hatimaye Clouds FM moja kati ya redio kubwa Tanzania imeanzisha kipindi cha michezo asubuhi kiitwacho Hili Game. Ikumbukwe Efm ndio mwasisi wa kipindi cha michezo asubuhi kitwacho Sports HQ...
24 Reactions
97 Replies
15K Views
Baada ya kumsajili attacking midfielder Chikwende kutoka zimbabwe simba wamemsajili mshambuliaji wa zamani wa team ya taifa ya nigeria super eagles na team ya esperance de tunis aitwaye Junior lokosa
7 Reactions
59 Replies
8K Views
Kwanza awali ya yote niipongeze klabu cha Yanga kwa kutwaa ubingwa Jana. Moja kwa moja kwenye mada. Niseme tu wazi kwamba huyu Morison inatakiwa apewe ushauri abadilike. Haiwezekani anapewa pesa...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Miaka ya nyuma tunanua Yusuph Manji alikuwa anawanunua sana waandishi wa habari waandike kuhusiana na yeye na Yanga. Na moja ya magazeti ambayo yalitumika sana ni MWANASPOTI. Gazeti hili...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
Eti anaacha soka kwasababu ya adhabu aliyopewa kuwa ni kubwa sana.Aende zake akafanye biashara, soka limemshinda kwani Tanzania hii ya watu milioni 40 ndie mchezaji pekee? Hata timu nzima ya Yanga...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mzee mmoja kutoka Bukoba ambaye kwa sasa yupo hapa Dar es salaam anadai kwamba Mshambuliaji wa Simba SC Tanzania Meddie Kagere ni mwanae na anaomba uongozi wa @simbasctanzania umkutanishe na...
6 Reactions
56 Replies
8K Views
SIMBA SC YAACHANA NA KOCHA SVEN DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2021 #HABARI: KLABU ya SIMBA SC imetangaza kuachana na kocha wake Mkuu Sven Vanderbroeck kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa...
6 Reactions
139 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…