Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baadae ya mechi kumalizika niliona wachezaji wa kigeni wa Simba wakikumbatiana na wachezaji wa To Mazembe, wakiongea na kubadilishana mawazo. Ila kiukweli sikumuona Kokolanya, Duchu, Shabalala...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naaam...Patashika ya michuano ya Simba Super Cup (SSC) imeendelea kuvurumishwa leo January 29, 2021 ambapo TP Mazembe ya Congo, walikuwa wakipambana vilivyo na Al Hilal SC kutoka nchini Sudan...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Heshima Sana kwenu wadau. Moja kwa moja kwenye mada, kumekuwa na dhana mbalimbali kwamba nchi nyingi za Afrika Magharibi ni Maskini na Zina migogoro mingi ya waasi na kisiasa kuliko nchi za...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kiwango ambacho anaendelea kukionyesha mchezaji Larry Bwalya kinauweka katika majaribu Ufalme wa 'MVP' Chama. Iwapo ataendelea katika kiwango hiki...swali la kujiuliza anaweza kuupoka Ufalme wa...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
Wapo makocha wenye mkosi mbaya na wakuchekesha kwa uwezo wanakuwa nao lakini sijui huwa wanakosea mara kwa mara huanza vizuri ila umaliza vibaya Mimi namtaja Jose Mourinho. Huyo kocha kati ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Rene Weiler ( Switzerland ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa Afrika Al Ahly 2. Diego Garzitto ( France ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Sudan ya El Merreikh na Kamaliza nayo...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Silas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo. Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua... 1. Kaskazini : Alfredo Shahanga 2. Pwani : Robert...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa upande wangu 1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta 2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya...
12 Reactions
55 Replies
4K Views
Yaani hiyo sura halafu acheke sasa burudaaani Hongera wadada wachambuzi
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Mchezaji wa zamani Tanzania akifanya mahojiano na mtangazaji Patrick Nyembera amesema timu ya taifa ya Uingereza ina kikosi kizuri hata kuweza kuchukua kombe la dunia lkn inakosa mchezaji mzuri wa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimejaribu kuangalia mechi ya wenyeji cameroon na Zimbabwe nikaamua kujipa moyo kwamba Tanzania tunaweza kufika hata nusu fainal au hata kuchukua ubingwa kabisa...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Baada ya Aliyekuwa Rais (Anthony Mtaka) wa RT na Makamu wake (William Kallaghe) kuondolewa kwenye usaili wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Waliwasilisha rufaa zao kwenye kamati hiyo. Majibu...
0 Reactions
6 Replies
969 Views
"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Naomba ateuliwe Mwanachama Mmoja hapa na awe ni mwana Yanga SC Mwenzetu kabisa kama nilivyo Mimi GENTAMYCINE ili tuweze kufanya 'Mobilization' ya 'Michango' hadi ipatikane Tsh Milioni Tano na...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu, Naomba kujuzwa kama ratiba vpl round 2 imetolewa rasmi na bodi ya ligi. Nitashukuru ikiwa shared hapa!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika...
11 Reactions
55 Replies
5K Views
Aisee leo vimenoga kweli kweli maana mpaka Sasa mapambano ma tatu na yote watanzania tumepoteza 'kihalali kabisa'. Mabondia wa tz Leo Hawako vizuri kabisa
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Inatia huruma Sana Na Inauma Sanaa Kuona Msemaji wa Club kubwa ya Wananchi anafungiwa Kwa miaka 3 kwasababu Ya Maadili. Inauma Kwasababu anashindwa Kulipa Tsh Millioni Tano Hii inaonesha...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Alipohojiwa gwiji wa soka la Uholanzi na Mkufunzi wa soka Frank De Boer juu ya Jose Mourinho na Manchester United, De Boer aliponda kuwa wachezaji wazuri kama Marcus Rashford hawana cha kujifunza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom