Makocha wenye uwezo lakini wana mkosi wa kuharibu timu

Dec 27, 2020
5
6
Wapo makocha wenye mkosi mbaya na wakuchekesha kwa uwezo wanakuwa nao lakini sijui huwa wanakosea mara kwa mara huanza vizuri ila umaliza vibaya

Mimi namtaja Jose Mourinho. Huyo kocha kati ya timu alizoziharibu ni Chelsea Man u
Je mwingine ni nan?
 
Rudi kashabikie rede, sidhani kati ya makocha waliopo kama kuna mwenye cv ya Mourinho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom