Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa!
Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na...
Hivi jamani... 🤔
Yanga inachangia CCM milioni 100 , halafu inarudi tena kwa wanachama wake kuwaomba michango ya uanachama.
Sasa cha kuchekesha ni kwamba hao wanachama sio wote wa CCM, wengine ni...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeibuka na ushindi katika mechi zake mbili za kirafiki, kwenye michuano ya CECAFA 3 Nations Tournament ikiwa ni maandalizi ya kuelekea fainali za Michuano...
Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama
Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni...
Shirikisho la Historia na takwimu za mpira IFFHS limetoa orodha ya vilabu ishirini bora barani Afrika ambapo
1: Pyramids
2: Al Ahly
3: RS Berkane
4: Zamalek SC
5: Es Tunis
6: Mamelodi Sundown...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga
Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia
Wamefunga comment huko...
MAISHA YA MSTAHAFU 😎
Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii.
Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka...
Klabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu.
"Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa...
Hao watu unaoambiwa wanamiliki sijui 51% ni stori tu za kulisha raia, ndiyo maana hata mwekezaji anawekeza kimachale tu.
Ule upande mwingine DSM si mnamjua ni nani? na kwa kuwa kule rangi ni zao...
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya utani wa timu zetu ta ligi kuu wanazopost kwenye page tao za mitandao ya kijamii.
Wamepost Singida Big Stars.
"Laiti Katika Timu Yenu Angetokea Mtu Mmoja mwenye...
Nimeona privaninho amepost katika ukurasa wake wa insta kama fahari ya wao kuichangia ccm lakini maoni ya wafuasi wa yanga wameonesha kukasirishwa sana na wengi wanatoa matusi ya nguoni.
Mimi...
1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana...
Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar...
Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga, amesema Yanga walikuwa tayari kumpeleka Clement Mzize Singida kwa mkopo, lakini yeye alimshauri kocha Nabi asikubali. Ameongeza kwamba walitaka kumtoa...
Kikosi cha Simba kilichopo Misri, katika maandalizi ya msimu mpya wa NBC Premier League na mashindano ya kimataifa, kimecheza mchezo wa kwanza wa kirafiki wa kujipima nguvu na timu ya Carabat FC...
Niliwahi kusema kuwa katika mashindano ya CAF ngazi ya vilabu hakuna guarantee kuwa ukiwa kwenye rank fulani ni lazima uanzie raundi ya pili bali factor ya kufanya idadi fulani za timu zianzie ya...
[emoji599][emoji599] BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.
De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila kama...
Timu bado zinaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kusajili na kuwaongezea mikataba wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao.
Timu ipi ina safu hatari ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao wa...