Mbona wenzake wanajua ku-balance mapenzi yao ya Simba na Yanga inapokuja issue ya team nyingine?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Jamni mbona wenzake wanajua ku balance mapenzi yao ya simba na yanga inapokuja issue ya team nyingine? Ibrahim maestro alishawahi kuwa hadi kuwa kiongozi wa simba lakini hajafikia level ya kutengenza mastory ya uongo kuhusu yanga na kuchochea migogoro, hata Geoff Lea anajulikana ni simba, Jemedari ni yanga, Tunu Hassan ni yanga ila huyu takataka kwa kweli is too much ni mwana utopolo mwenye chuki kali kwa Simba.

Ukimsikia redioni utadhani kama mtu vile wakikaa ku-discuss maendeleo ya mpira Tanzania na kujifanya wana uchungu unaweza waamini lakini simba walichokifanya kwa miaka minne kimekuwa chanzo cha chuki kali wanatamani hata wakalipue kambi ya simba au hata ndege iliyowabeba simba ianguke wafe.

Hili jitu sijui likoje kwa kweli, ndiyo maana Manara alilitisha kutoboa ukweli kuhusu yanayofanyika kwenye safari zake zisizoisha huko marekani, embu angalia hii tweet hapa chini achana na hiyo ya juu aliyo re-Tweet ya takataka mwenzake wanayesafiri naye mara kwa mara wakijipongeza kwa UJUHA wao.

Tusisahau pia manara aliongeleag kuhusu hirizi iliyoangushwa pale redio one na Mr takataka.

takataka.jpg
 
Wewe ndio shabiki maandazi mtu kakwambia tetezi unakuja kufungua uzi unamwita mtu ambaye kakuzidi kila kitu eti takataka ebu tupe cv yako tujaribu ku compare Na kitenge tuone nani anafaa kuwekwa kwa dustbins
 
Jitu limekalisha masaburi yake linatunga story ya uongo Kamwaga kaacha kazi kwa kugombana na waajiri kumbe uongo maana yake nini? hakika lile tapeli la magari lilipo raise doubt kuhusu safari za marekani sikuelewa sasa naona ukweli unawezekana upo.
 
kueni na staha ya maneno na mkumbuke uandishi wa habari ni taaluma na hawa wamesomea na wanaifanya, hamuezi kuwaita takataka kisa mapenzi na mikia yenu iyo so amieni kenya if bongo inawakera
 
Kwa nini usinywe tu sumu ili ufe! Maana hata umchukie vipi, haisaidii chochote! Mwenzako maisha yanaendelea, huku wewe ukizidi tu kufa kidogo kidogo kwa msongo wa mawazo na magonjwa ya moyo.
 
kueni na staha ya maneno na mkumbuke uandishi wa habari ni taaluma na hawa wamesomea na wanaifanya, hamuezi kuwaita takataka kisa mapenzi na mikia yenu iyo so amieni kenya if bongo inawakera
Umeelewa lakini??? Toa ushabiki, kitendo cha mwandishi wa habari kutoa habari za uongo ni kukosa weledi.

Hawa ndo wakishtakiwa wanaanza kuomba kuonewa huruma.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
kuna kitu hujui kabisa kwahabari ya uandishi wa michezo, tetesi katika habari za michezo ni kitu cha kawaida kabisa hata ulaya tunayaona hayo, na ikiwa alilonena uyo mtu ni tetesi basi una nini wewe cha kumshitaki

,(hukuona juzi kule spain perezi alishutumiwa kuwa ni chanzo cha Messi kuondoka barca? je ilikua ni kweli? why zilibaki kuwa ni tetesi tu na maisha yakaendelea, acheni chuki za kishabiki bhna mnatuchosha na gari lenu lililochakaa tayari-waiiii gaah)
 
Kwa nini usinywe tu sumu ili ufe! Maana hata umchukie vipi, haisaidii chochote! Mwenzako maisha yanaendelea, huku wewe ukizidi tu kufa kidogo kidogo kwa msongo wa mawazo na magonjwa ya moyo.
Na wewe kwa nini usisage chupa umeze tu kwani umelazimishwa kusoma post zake,kama vipi zikaushie tu.
 
Jamni mbona wenzake wanajua ku balance mapenzi yao ya simba na yanga inapokuja issue ya team nyingine?. Ibrahim maestro alishawahi kuwa hadi kuwa kiongozi wa simba lakini hajafikia level ya kutengenza mastory ya uongo kuhusu yanga na kuchochea migogoro, hata Geoff Lea anajulikana ni simba, Jemedari ni yanga, Tunu Hassan ni yanga ila huyu takataka kwa kweli is too much ni mwana utopolo mwenye chuki kali kwa Simba

Ukimsikia redioni utadhani kama mtu vile wakikaa ku discuss maendeleo ya mpira Tanzania na kujifanya wana uchungu unaweza waamini lakini simba walichokifanya kwa miaka minne kimekuwa chanzo cha chuki kali wanatamani hata wakalipue kambi ya simba au hata ndege iliyowabeba simba ianguke wafe

Hili jitu sijui likoje kwa kweli, ndiyo maana Manara alilitisha kutoboa ukweli kuhusu yanayofanyika kwenye safari zake zisizoisha huko marekani , embu angalia hii tweet hapa chini achana na hiyo ya juu aliyo re tweet ya takataka mwenzake wanayesafiri naye mara kwa mara wakijipongeza kwa UJUHA wao

Tusisahau pia manara aliongeleag kuhusu hirizi iliyoangushwa pale redio one na mr takataka

View attachment 1895039
Unasumbuliwa na njaa

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom