Football is back

DAD'S SON

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
392
466
Ni habari njema sana kwa wapenzi wa soka dunia,tumeona jana ligi kuu German imerudi,hii inaatupa matumaini na ligi zingine kurudi mwishoni mwa mwezi huu zingine mwanzoni mwa mwezi ujao.

Mashabiki wa Liverpool naowaona wakiwa na furaha isiyo na kifani baada ya kusikia league haifutwi na itaendelea ivi karibuni.

Viongozi wa Uefa na Europa league nao wamethibitisha league hizo kurudi ivi karibuni(kazi kazi).

Watu wenye furaha kuliko wote ni wazee wa kubet,wazee wa mikeka,wazee wa odds wazee wa kwa muhindi.

Aya tukutane vibandani soon.

Football is back
dololo_memes-20191208-0001_1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom